Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768


Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii huku akimmwagia sifa kemkem.

Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote kuanzia sasa na jina lake ataliweka hadharani soon! (Dj Majey tunamjua)

"Ni kweli ni mpenzi wangu ambaye tunapendana sana na muda wowote kuanzia sasa tutafunga pingu za maisha kama mipango yetu ikikaa vizuri," alisema Hamisa.

Aliendelea kusema kuwa wana miezi sita mpaka sasa na amekuwa mtu ambaye anajua nini thamani ya mapenzi kwani muda wowote akimuhitaji anakuwa karibu yake



KWA MSIOMFAHAMU;UYO JAMAA NI DJ MAJEY WA E FM NA MAISHA...KULA VITU KAKAA
 
Huyu dada akipiga picha mzuri kweli umuone anaongea sasa.ka mdomo sijui kanakaaje,ila ana umbo zuriiiii sio.kama kina mdee
 
Dinazarde

Si kanajiitaga malkia kadomo...hehee mambo shost,,
 
Last edited by a moderator:
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova
 
Mdakuzi

Mbona Nargis anajifanya ana furaha saaana am happy for u guys na mambo kibao mdumu milele... kumbe alifanyiwa pata potea na DJ
 
Last edited by a moderator:
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova

heee!
kumbeeeee!!!!
majay nae hana maana?!!
nlikua sijui na km ndo ivyo majay bas mkubwa sana kwa hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…