Majay yupo vizur sana upstairs hata kucontroo mambo yake.
Mie yangu macho
Angekuwa yupo vizuri upstairs hasingekubali mapenzi ya kuchoreshana tena na kicheche kilichoshindikana.
Hamisa ni kicheche eee
Aya bwana wenye mapenzi yao
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova

Pole bbe mbona kama mnyonge ivi
Naona wanaringia wanaume wao
Ukiona
Ukiona hivyo ujue hajawahi kudumu na mpenzi huo unakuwa ulimbukeni
Hamisa kachanganyikiwa baada ya yule bwanaake muuza madira kuoa,anaitwa maanal kama sikosei
Ana mabwana wangapi huyu mwenye kamdomo kama kasuku
Mh,huyo anaweza kujaza yutong 3 naona lakini alijiwekaga kwa mkaka fulani muarabu akatoswa akaolewa mwingine,nasikia aliumia sana