Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova

Teh teh teh
Chezea bongo
 
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova

Mh,mh...kipanya nae ana mambo???niliwahi kusikia kaungua pia alishadate na jokate...
Lakini nimefurahi alichofanyiwa,karma is a beach....
 
Kuna watu bongo wanadhani wanafahamika lakini kumbe wanajulikana kwenye familia zao na mitaani kwao sasa huyu naye ni nani? Kweli tuna safari kufikia celeb wa ukweli
 
Hamisa kachanganyikiwa baada ya yule bwanaake muuza madira kuoa,anaitwa maanal kama sikosei
 
Ana mabwana wangapi huyu mwenye kamdomo kama kasuku

Mh,huyo anaweza kujaza yutong 3 naona lakini alijiwekaga kwa mkaka fulani muarabu akatoswa akaolewa mwingine,nasikia aliumia sana
 
Mh,huyo anaweza kujaza yutong 3 naona lakini alijiwekaga kwa mkaka fulani muarabu akatoswa akaolewa mwingine,nasikia aliumia sana

Na lile shepu akaachwaaaa we usiniambieeee
 
Back
Top Bottom