Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Waarabu huko Dubai wameisha andaa Nov 26-27 maonesho na mkutano wa kimataifa wa technologia na uwekezaji kwenye miradi ya madini.
 
Hamisa atakuwepo?
 
Anatafuta maisha, wamemtumia yeye na,Salim kikeke kutangaza hafla yao.
Iko siku atatulia, Hoyce Temu aluanza hivi hivi kabla hajala shavu UN.
Mumsaidie msimbeze, kujitafuta ni process.
 
Xi Jinping You and I don't see eye to eye very often, but here are my two cents.

Nilipoona ad ya huyu bidada mwenyewe nilishangaa anafanya nini kwenye hii sekta ila ukituliza akili utaelewa.

Dhumuni la huu mkutano ni kukutanisha wadau na wasio washiriki wa hii sekta (outsiders). How do you attract the outsiders?

Tuseme hapo aende Achimwene, Mdimi, GGM, Barrick na wadau wengine tu unadhani mtu wa kawaida atashawishika kwenda kujifunza? Wengi wamesikia kuhusu huu mkutano baada ya hawa so called influencers kuwa invited otherwise wangekutana watu wale wale waliopo ndani ya sekta kubadilishana mawazo yale yale.

Unless huyu mwanamama ana sifa mbaya kwenye jamii, sijui her personal life in details, hakuna sababu ya kumrushia mawe.
 
Kweli Kuna mawaziri madomo zege yaani wanashindwa kumpata demu kama mobeto mpaka wajidharilisha namna hii?
 
Wanawapa kipaumbele mademu zao tu, wadau tutafikiriwa. Kuna upuuzi mwingi sana
Hili tukio halina tofauti na wasanii kupelekwa Korea Kusini ilhali Tanzania tuna sekta nyingi mbovu ambazo tulitakiwa tuwasilishe watu Korea ili tuambukizwe ujuzi.
Unaenda kupeleka tasnia ya filamu ilhali haiingizi hata 20% ya pato la taifa.
Wakati huo wewe mfumo wako wa elimu ni mfumo duni,huwezi kuendesha mradi wowote ule wa kiserikali,hauna wahandisi wazuri wa barabara😂😂😂😂😂😂😂😂😂aaaalooooooh!
Hii bongo ina laana aisee the one who cursed us might be dead.
 
Waziri wa madini bado kijana, huelewi nini?🥱
 
Hope atakua ni MCHIMBAJI MADINI YA HAPO KATIKATI ZINGATIA NENO KATIKATI.
 
Nini kifanyike mkuu?


Turejee kwenye misingi ya kufanya kazi kwa kuzingatia uadilifu.
Tusichanganye mapenzi na kazi zenye maslahi ya umma.
Uamuzi unaofanya angalia athari zake kwa jamii nzima maana unaweza ukajikuta unabomoa badala ya kujenga.
Mabinti wengi watajifunza kuwa Umalaya utakufanya ukubalike serikalini.
Hata walikuwa wanafanya kwa Siri watajinadi hadharani.
Umalaya ni kinyume na dini na utamaduni na desturi ya watanzania.
 


Afadhali hizo Hela zingejenga mabweni ya wanafunzi wa kike wa sekondari maana ni zaidi ya tatizo nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…