Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

Me siku ya kwanza kuona picha kabla ya kusoma tangazo lenyewe nilijua ni tangazo la Bongo Movie kumbe ni Institute duuuh
 
KWAIYO MWANAMKE AKIMWITA MWANAE ABDUL NDO ATAKUA KAZAA NA DIAMOND AU? SIJAELEWA
 
Raha ya mume umjue mke mwenzio! tena ukimjua unajichetua haswaa,safi Hamisa komaa na hali yako bibie.ukizaa wapil muite Esmaplatinumz. Uzalendo nyumbani kwanza.
 
Replay uliyo iquote na haya maelezo yako uliyo yatoa mbona hayaendani.

-Ndumilakuwili-
 
Raha ya mume umjue mke mwenzio! tena ukimjua unajichetua haswaa,safi Hamisa komaa na hali yako bibie.ukizaa wapil muite Esmaplatinumz. Uzalendo nyumbani kwanza.
[emoji13] no watatu ataza na mwanaume gani sjui.

Maana kama kambuzi.[emoji188] [emoji188]
 
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtoto siyo wa,kwangu kweli?
We Hamisa acha kugawa mtoto wangu.. .!
 
Na inawezekana haya yote yamepangwa na zari,hamisa,diamond na familia yake wakaisuka vizuri tu mda huu wanacheka tu WhatsApp kwa kuwafanya watanzania wajinga
 
Nisichokipenda kwenye hili ni usaliti, chuki, na unafk ulioko kwa wanawake.

Hivi ndo kina mama mongella walienda kabisa Beijing kudai haki za wanawake.

Hivi mwanamke kama kweli hujjikomboa kwenye utumwa wa kifikra wa kupaatikia wanaume na kujipeleka kwenye gereza la kuzalishwa kama incubeta sijui utakombolewa na nani.

Ikiwa tunawaza kudhalilishana, kukomoana kudhani unamkomoa zari kumbe ndio unampa bichwa huyo diamond ajione kidume kinachogombewa. Huku kote kunawafanya wanaume watuone wanawake ni watu wasiopendana na hivyo kuwapa chance kutunyanyapaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…