Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna mwanaume anaweza kukubali sehemu ambayo anamaslahi yake mganda hawajui aw tz kadanganywa sana na mtoto wa tandale anamdanganya ili amchote vizuri
Mganda alishampata kabisa mtoto wa Tandale, kosa lake ni dharau, kumdharau bi Sandra mama mzaa chema.
 
Mganda alishampata kabisa mtoto wa Tandale, kosa lake ni dharau, kumdharau bi Sandra mama mzaa chema.

Kabisa aliwaona wote wajinga kumbe hawajui wabongo wanauma wanapuliza wapate kumla vizuri watoto wake wenyewe kila siku utata
 
Kama ni kweli.hamisa anajua kurusha roho.yeye hasemi kitu ni vitendo tu.hiyo ndio inauma hasa.zari atajitahidi kujikaza ila lazima ataumia. Mapenzi haya mmhh
 
Halafu kinachozangaza kwa nini asemwe zari tu wakati yeye hana kosa. Aliezaa nje ni mwengine ila asilimia kubwa ya wanawake wanasema zari. Ni kama mwanamke ukiachwa anaechekwa zaidi ni mwanamke. Kwa hali hii diamond ataendelea tu kuzaa nje
 
leten ushahd wa dna

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hivi hii timekosa vitu vya maana vya kijadili? Tunajadili maishabya watu.. upuuzi kabisa wewe ulieleta post umeshawahinpewa mimba na nani?
Unaonaje ukileta yanayokuhusu wewe ili watu wayajadili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
Wenzako wanaangalia future baadae
 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] vya watu vitamu, mabeto mwenyewe keshazaa na mwingine
Afu wanawake wanataka pesa mjn ....pia huenda anamu-admire di
 
Mwanaume kuzaa bwana"in gwajima voice

ushauri wa bure
 
Anatia aibu, kama mmoja wa mashabiki wake wakubwa wa humu ni bye bye Abdul Naseeb.

Pesa ni kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…