mamaudaku
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 706
- 467
Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hv
Mtt wa kwanza ukaachiwa unakuja zaa tena na mume wa mwenzako halaf kanachekelea tu
Lini alimuoa zari wote wazinzi wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hv
Mtt wa kwanza ukaachiwa unakuja zaa tena na mume wa mwenzako halaf kanachekelea tu
Mganda alishampata kabisa mtoto wa Tandale, kosa lake ni dharau, kumdharau bi Sandra mama mzaa chema.[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna mwanaume anaweza kukubali sehemu ambayo anamaslahi yake mganda hawajui aw tz kadanganywa sana na mtoto wa tandale anamdanganya ili amchote vizuri
Mganda alishampata kabisa mtoto wa Tandale, kosa lake ni dharau, kumdharau bi Sandra mama mzaa chema.
hivi huwa unaishi nao? umezionea wapi hizo dharau za zari?Mganda alishampata kabisa mtoto wa Tandale, kosa lake ni dharau, kumdharau bi Sandra mama mzaa chema.
Wenzako wanaangalia future baadaeWanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] vya watu vitamu, mabeto mwenyewe keshazaa na mwingineWanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
This is celebrity forum....Hivi hii timekosa vitu vya maana vya kijadili? Tunajadili maishabya watu.. upuuzi kabisa wewe ulieleta post umeshawahinpewa mimba na nani?
Unaonaje ukileta yanayokuhusu wewe ili watu wayajadili?
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaa utadhani alikuwepo wakati Bi Sandra anaoneshewa hizo dharau[emoji3] [emoji3]hivi huwa unaishi nao? umezionea wapi hizo dharau za zari?
[emoji23]Hata mimi ningekuwa Diamond, Hamisa nisingemuacha mtoto mzuri hivyo namtafuna tu.
"Supplanter"
Tatizo nn... Dunia inapita jua hiloHongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
Pesa ni kila kituNadhan huwa wanataka kujua huyo jamaa ana nini mbona wengi wanamfuata...nakumbuka zamani enzi zile ndo tumemaliza A-level hali ya maisha imetupiga ukimaliza May, kuingia chuo mpaka September mwaka unaofuata na sie damu inachemka na videiwaka uchwara vyetu ...tulikuwa tunapigwa vibuti ila unakuta msela mwingine kitaa anabadirisha leo huyu na kesho yule lakini bado walikuwa wanakwenda tu.
Nadhani wanahisi jamaa ni fundi hivyo kila demu anaona ngoja akajionee mwenyewe
Japokuwa tusifanye conclusion sana maana ni majina tu huenda amempa jina la Simba kumuenzi kutokana na yanayojiri...mbona kuna watu wanaitwa Nkwame Nkuruma lakini hawana vinasaba na mwenye jina