Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kuzaa kwan ninin kaah!Ujinga tu, maana unazaa na mtu ambae hana hata possibility ya kukuoa. Khaaa.
Pole jamaan ila ungempenda yeye tu na kazi zake hayo madrama yake ungemuachia aangaike nayo mwenyeweAnatia aibu, kama mmoja wa mashabiki wake wakubwa wa humu ni bye bye Abdul Naseeb.
View attachment 569108
View attachment 569107
hahahaha halafu mambo ya kusema oooh nadharauliwa oooh fulani ana nidharau....mara nyingi husemwa na watu dhaifu na wasio jiamini....haaaa utadhani alikuwepo wakati Bi Sandra anaoneshewa hizo dharau[emoji3] [emoji3]
Haelew.... Ña hajiulizMmmmh tangu lini Zari ni hardworking!!? Anadanga tuu kama wenzake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heri angezaa na lemutuz chaja ya kobe ndio angeuza nyago vizuri kila cku selfie
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliyotokea kwenye European tour ilikuwa fungakazi watu wakiachana airport pasi kuaganahivi huwa unaishi nao? umezionea wapi hizo dharau za zari?
thanks for coming Chibu dii chibu deee
Xawa queen darling( auntdee)thanks for coming Chibu dii chibu deee
Kumbuka huyo mwanaume Ni diamond,a rich artist.Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
Ahsanteeee huyo lulu mwenyewe nyakunyaku...hana loloteMswahili kwa kuzaa na Diamond au mswahili kwa kumpa mwanae jina la babu yake?
Kuzaa nje wamezaa wangapi na ndoa zipo tu?sijui watu wa madale wana mpango gani na zari.zari anajifanya mjanja ila hawa watu wa tandale sijui wana mpango gani na huyu mganda wa watu ngoja tuone movie
Huwa wabantu issue ya diversity katika maisha yetu ya kawaida tulikutana huwa hatuna...unakuta umemfahamu mtu na kuelewana kwa kigezo cha kufanya kazi pamoja ajabu tunaingiza chuki mpaka kwenye maisha yake binafsi baada ya kazi mfano kama ikatokea mtu jioni analewa mpaka anatambaa lakini kesho asubuhi anawahi kazini na kupiga kazi kama kawa lakini bado watu watamnyanyapaaPole jamaan ila ungempenda yeye tu na kazi zake hayo madrama yake ungemuachia aangaike nayo mwenyewe