Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

haaaa utadhani alikuwepo wakati Bi Sandra anaoneshewa hizo dharau[emoji3] [emoji3]
hahahaha halafu mambo ya kusema oooh nadharauliwa oooh fulani ana nidharau....mara nyingi husemwa na watu dhaifu na wasio jiamini....
 
Mtoto wa Hamisa Mobeto afunguliwa account facebook yenye jina halisi la diamond Platinumz liitwalo Abdul Naseeb Dee. pia ilipata video za ndugu wa diamond platinumz mama yake na dada zake wakienda kumtembelea mtoto wa hamisa alipozaliwa hospitalini..Hongera Mondi

 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
Kumbuka huyo mwanaume Ni diamond,a rich artist.
Hapo Hamisa anaona future yake na ya mtoto hajali sjui mdomo wala maneno ya watu.
 
Pole jamaan ila ungempenda yeye tu na kazi zake hayo madrama yake ungemuachia aangaike nayo mwenyewe
Huwa wabantu issue ya diversity katika maisha yetu ya kawaida tulikutana huwa hatuna...unakuta umemfahamu mtu na kuelewana kwa kigezo cha kufanya kazi pamoja ajabu tunaingiza chuki mpaka kwenye maisha yake binafsi baada ya kazi mfano kama ikatokea mtu jioni analewa mpaka anatambaa lakini kesho asubuhi anawahi kazini na kupiga kazi kama kawa lakini bado watu watamnyanyapaa

Ndo kwa hii issue yaani jamaa anamchukia mshikaji wakati muziki wake ndo ulimfanya amfuate hayo mambo mengine ni ya kwake
 
shilawadu wamethibitisha kwa kipimo gani ama wana mashine ya d.n.a

upuuzi kama upuuzi mwingine
 
Back
Top Bottom