Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

Hahahah...

Hebu ngoja niishie kucheka tu
 
Aisee akibahatika Mondi ataingia kwenye rekodi kama mbongo fleva kuwahi kuchakata papuchi za Mh Mbunge na Mh Dc
 
Labda awe mhunge ila mbunge haiwezekani. Kisa umaarufu wa kuzaa na Diamond ndio umfanye agombee.!

CCM na vyama vya upinzani kuweni serious kwenye mambo makubwa haya.
 
Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbunge siyo kiongozi bali mwakilishi au mtumishi wa wananchi. Ni mtu aliyetumwa bungeni kuwasemea waliomtuma.
 
Kwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?
Unapenda sana ligi tuu, Sugu na Prof J ni wanaharakati kwa asili na mapambano yao yanaonekana hadi Leo.

Kuwa msanii sio kwamba ndio kunakoondolea watu sifa ya kuwa bora bali akili zao na tabia.
Hivi huyo Hamisa hata kama anagombea uenyekiti wa mtaa wako utampa kweli? Labda kwa sharti naye akupe kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie Bado hamjaelewa Hamisa akienda pale mjengoni anakua Kama kivutio Cha wataliiii... So utalii wa ndani utaongezeka...
 
Freed Freed,
Si tuliambiwa nchi hii lolote linawezekana ni kuunga juhudi mkono tu, Bado Amber kama alivyotabiri Roma.
 
Duuh itakuwa hatati, kule Iringa Steven Nyerere, kusini Hamonize, Kigoma Diamond, Kinondoni Hamisa! Bado shishi baby kule Igunga! Haji Manara......! Ccm wamefanya ubunge uonekane kazi nyepesi mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaweka cv yake ambayo haikuandikwa popote , lakini ngoja kwanza tusubiri tamko lake mwenyewe
 
Back
Top Bottom