Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Kabisa I see hili lichama mpaka linanuka sasaChama cha majizi , makahaba , majambazi , matapeli , mapunga , mataahira ( CCM )
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa I see hili lichama mpaka linanuka sasaChama cha majizi , makahaba , majambazi , matapeli , mapunga , mataahira ( CCM )
Kwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?
Lini ulikuwa mgumu?!
Kingendu,Diamond,harmonize,Wema,n.k.Aseee hilo bunge waingie akina steve na hamisa mbona balaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbunge siyo kiongozi bali mwakilishi au mtumishi wa wananchi. Ni mtu aliyetumwa bungeni kuwasemea waliomtuma.Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapenda sana ligi tuu, Sugu na Prof J ni wanaharakati kwa asili na mapambano yao yanaonekana hadi Leo.Kwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?
Kwa vile spika amesema Bunge ni moja ya vivutio vya utalii, sawa anaweza kupewa tu huo ubunge wa Kinondoni.Lini ulikuwa mgumu?!