Hata billnass hajalazimishwa mtoto
Ujue kwa alipofikia HAMISA Kwa Sasa amempuuza tu Mondi na hataki hizo drama
Hyo intavyuu ya miaka mingi kipindi hicho HAMISA nadhani Bado ana akili za kitoto na kishamba
Kwa Sasa HAMISA huyu sio yule wa kipindi kile kutukannwa na ukoo mzima na Bado anaenda kuliwa na Mondi
HAMISA wa Sasa amekaa kimya anawaona wote wapuuzi tu kuhusu DNA mwanzoni walipima walitaka wakapime Tena HAMISA amekataa na sio yeye hata Mimi km nna hakika mtoto ni wako ukisema DNA nakataa asee kama kumkataa mkatae wangapi wanekataliwa wamelelewa single mama na wanafanikiwa
Amechoka na drama za bi Sandra na wanawe,wale hawajitambui they are dying for fame ndo maana yule mama na mwanawe waliweza kwenda kwenye Radio wakasema diamond sio mtoto wa Mzee Abdul aliolewa na Mimba tu ila Mzee Abdul uliona hekima aliyotumia?na Ndo uzazi ulivyo brother...
Kwa Sasa Missa Yuko too far from dramas anafanya umalaya wake kimpango wake Ile familia Iko tayari Kwa lolote Ili tubaki wabaki juu
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app