Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Mtoto huyo sio wa Mondi, ndio maana humuoni Mondi kumpost wala kuwa naye karibu na hachangii chochote,zigo hilo sasa hivi analazimishwa Billnass so unamsifia kuwa ni malaya smart ila amefanya umalaya mpaka kasahahu mtoto wa nani.
 

Uyo dem inaonekana anamkubal sana mondi ila sasa jamaa ni fucker tu hana habari nae.
 
Mto huyo sio wa Mondi, ndio maana humuoni Mondi kumpost wala kuwa naye karibu na hachangii chochote,zigo hilo sasa hivi analazimishwa Billnass so unamsifia kuwa ni malaya smart ila amefanya umalaya mpaka kasahahu mtoto wa nani.

Diamond anajua mtoto sio wake kabambikiwa na mobetto.. ila shida DNA zilisoma ni wa diamond.

Na mtoto kisheria ni wa diamond.

Child support anatoa kama kawaida na kwenye mirathi anaingia kama kawaida
 
Siku zote Malaya hana aibu maana ndiyo biashara yake.

Mobetto kaliwa na Bro wangu wa kazini. Dem alianza hapa bongo hawezi kuingi hotelin jamaa akajua dem anazingua akamwambia tunaenda south. Demu hakuchomoa wakaenda south akaliwa, hawa masupastaa ni dau lako tu. Tena huwezi kuwala kama hujapitia kwa maagent wao[emoji119][emoji119]
 
Diamond anajua mtoto sio wake kabambikiwa na mobetto.. ila shida DNA zilisoma ni wa diamond.

Na mtoto kisheria ni wa diamond.

Child support anatoa kama kawaida na kwenye mirathi anaingia kama kawaida
Wewe Mondi kishapima DNA zamani, ndio maana sasa hivi hata hela child hatoi. Zigo sasa hivi la huyo mtoto analazimishwa Billnass alibebe, kuna kipindi Mama yake Diamond alimponda kwenye insta "tusilazimishe undugu ".

Sasa kama kweli kisheria ni wa Mondi why kwa nini mpaka sasa Mobetto hajamshtaki Mondi?

Why kwa nini zigo analazimishwa Billnass?
 
Bora yeye anazaa.

Kina Wema walikaangia viepe ya kwao sasa hivi wanahaha.
 


ACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.

HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO


Mwanamuziki Diamond Platnumz amemkubali mtoto aliyezaa na na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.

Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.

"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.

"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.

"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.

"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.

"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu

"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.

“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond

Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.

“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.


 
Ndo nani huko Dar huyo Hamisa mobeto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…