Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Ungejua sababu iliyomfanya diamond aandike neno "bora useme" kwenye hiyo topic ya waziri wa afya inayosema msionee watu kwenye majibu ya DNA .

Sababu kuu majibu ya DNA yalivyotoka yalisoma Dylan ni mtoto wake.

Na mahakama imeyasimamia hayo hayo majibu.

Na hayafutiki tena.. hapo ndipo alipokamatwa.

Diamond anajuta kulala na mobetto maana kaingizwa kwenye mtego ambao hawezi kuuruka kisheria.
Duh!..kumbe alibambikwa ?....
 
Fse2TGNWIAAXJx0.jpg
 
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume Dylan.

Faida ya kujianika hivi ni nini?

====

Tanzanian model Hamisa Mobetto has sensationally claimed that Bongo star singer Diamond Platnumz wanted to have a child with her so desperately while married to Ugandan socialite Zari Hassan that he got her pregnant three times.

Mobetto however disclosed that they lost the initial two pregnancies before they got their son.

Diamond and Mobetto got a son, Dylan Nasseb, out of wedlock in August 2017.

At the time, the Cheche singer was in a relationship with Zari, who was then based in South Africa, and whom she had been cheating on with the beautiful model.

After the arrival of their baby, Mobetto and Diamond had a nasty fallout and at one point the outgoing model was forced to drag the singer to court for child support.

Recently, in a radio interview, she was asked if Diamond ever asked for a DNA test to ascertain if the boy was indeed his.

“Nadhani katika mtu mwenye uhakika zaidi kuhusu mtoto kuwa ni wake au sio wake ni Diamond, kwa sababu hata kabla sijapata mimba ya Dylan, nilishapata ujauzito wake mara tatu na bahati mbaya ukaharibika,” Hamisa responded to The Switch Team.

When reports emerged that Mobetto was expecting Diamond’s baby, the bongo flava star was quick to refute them in an attempt to save his marriage to Zari.

He eventually owned up that he indeed cheated on Zari and sired a child with Mobetto.

The singer even vowed he would do anything to salvage his four-year relationship with Zari before she Zari eventually dumped him on Valentine’s Day in 2018.
Hizi ndiyo habari unazoziweza.Lissu humuwezi.
 
Ni ushamba tu. Watoto wazuri wote town tena bado wabichi then uhangaike na magubeli ya mjini hadi kumpandisha ndege.
Aisee vijana mna kazi sana

Inasikitisha sana kuona mwanaume unaonea wivu pesa za mwanaume mwenzio. Unamsaidia kutafuta hela? Kwanini umpangie matumizi mwanaume mwenzio. Au ulitaka akupeleke wewe south???[emoji23]
 
ETI KULINDA MASLAHI YA MTOTO...MAMLAKA YA SERIKALI INADANGANYA MATOKEO YA DNA...NA KUMBAMBIKIZA MTOTO KWA ASIYE BABA YAKE KWELI...

KWAHIYO MAMLAKA HIZO ZIMECHUKUA AKILI ZA HUYO MALAYA NA WENYEWE WAKAWA NA AKILI HIZO HIZO KUMNYIMA MTOTO KUWA NA BABA YAKE HALISI...

ETI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI NDIO TUDANGANYE WATOTO HUYU NI BABA YAKO SIO YULE...! HALI YA KUWA YULE NDIYE BABA YAKE HALISI...

WANATENGENEZA DOGO WANAHARIBU KUBWA ZAIDI...PUMBAVU KABISA...
 
ACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.

HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO


Mwanamuziki Diamond Platnumz amemkubali mtoto aliyezaa na na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.

Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.

"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.

"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.

"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.

"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.

"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu

"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.

“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond

Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.

“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.



Kadiamond kanajuaga sana kujielezea haka kajamaa
 
Mtoto huyo sio wa Mondi, ndio maana humuoni Mondi kumpost wala kuwa naye karibu na hachangii chochote,zigo hilo sasa hivi analazimishwa Billnass so unamsifia kuwa ni malaya smart ila amefanya umalaya mpaka kasahahu mtoto wa nani.
Zamani kabla hawajagombana Mond amempost sana yule mtoto..
 
Back
Top Bottom