Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Labda akomae na huyo Rozay, ila kwa Mondi huyo mtoto hana chake.

ACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.

HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO.

DNA ILIPIMWA KWA AMRI YA MAHAKAMA. FATILIA MAJIBU YA DNA YALIKUWAJE NA KESI YAO ILIMALIZIKAJE.

ACHANA NA STORY ZA VIJIWENI NENDA FATILIA KISOMI
 
ACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.

HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO
Ile ilikuwa kabla ya Mondi kupima DNA, ila baada ya kupima na kujilizisha, Mondi kakata huduma zote kwa huyo mtoto.

Ushajiuliza kwa nini mpaka sasa hajamshtaki?

Na kama hujui huyo mto ni wa Billnass kwa Mondi hana chake.
 
MAHAKAMA NA SHERIA ZINA UTARATIBU WAKE

DAIMOND ATAKE ASITAKE YULE MTOTO ATAMUHUDUMIA MPAKA KUFA KWAKE. NA HATA AKIFA URITHI WAKE ATAGAIWA PIA.

SWALA SIO DIAMOND KUMPENDA MTOTO, WALA KUMPOST WALA NINI.

SWALA NI SHERIA INASEMAJE NA DNA ILISEMAJE NA MAHAKAMA ILIAMUAJE

"Hamisa Mobetto amezungumza na WasafiFm kuhusiana na tetesi hizo na kusema kuwa ni kweli Diamond alifanya hivyo ili kujihakikishia na majibu yalitoka asilimia 100% mtoto huyo ni wakwake. Hamisa amefunguka “Tulienda hospitali na tukachukuliwa vipimo vinne vinne, wakasema tusubirie wiki mbili au tatu na majibu yakatoka mtoto kwa asilimia zote 100% ni wakwake”
 
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume Dylan.

Faida ya kujianika hivi ni nini?

====

Tanzanian model Hamisa Mobetto has sensationally claimed that Bongo star singer Diamond Platnumz wanted to have a child with her so desperately while married to Ugandan socialite Zari Hassan that he got her pregnant three times.

Mobetto however disclosed that they lost the initial two pregnancies before they got their son.

Diamond and Mobetto got a son, Dylan Nasseb, out of wedlock in August 2017.

At the time, the Cheche singer was in a relationship with Zari, who was then based in South Africa, and whom she had been cheating on with the beautiful model.

After the arrival of their baby, Mobetto and Diamond had a nasty fallout and at one point the outgoing model was forced to drag the singer to court for child support.

Recently, in a radio interview, she was asked if Diamond ever asked for a DNA test to ascertain if the boy was indeed his.

“Nadhani katika mtu mwenye uhakika zaidi kuhusu mtoto kuwa ni wake au sio wake ni Diamond, kwa sababu hata kabla sijapata mimba ya Dylan, nilishapata ujauzito wake mara tatu na bahati mbaya ukaharibika,” Hamisa responded to The Switch Team.

When reports emerged that Mobetto was expecting Diamond’s baby, the bongo flava star was quick to refute them in an attempt to save his marriage to Zari.

He eventually owned up that he indeed cheated on Zari and sired a child with Mobetto.

The singer even vowed he would do anything to salvage his four-year relationship with Zari before she Zari eventually dumped him on Valentine’s Day in 2018.
huyo mtoto mbona haonekani na mondi tena?
 
MAHAKAMA NA SHERIA ZINA UTARATIBU WAKE

DAIMOND ATAKE ASITAKE YULE MTOTO ATAMUHUDUMIA MPAKA KUFA KWAKE.

SWALA SIO KUMPENDA, KUMPOST WALA NINI.

SWALA NI SHERIA INASEMAJE NA DNA ILISEMAJE NA MAHAKAMA ILIAMUAJE
Sasa ndio hamuhudumii sasa hivi na mtoto kishampeleka mpaka kwa Billnass,ila Billnass kamtuliza ndoa yake bado changa.

Halafu why HUTAKI KUMZUNGUMZIA BABA YAKE HALISI BILLNASS au kwakuwa Mondi ana hela.
 
Mobetto kaliwa na Bro wangu wa kazini. Dem alianza hapa bongo hawezi kuingi hotelin jamaa akajua dem anazingua akamwambia tunaenda south. Demu hakuchomoa wakaenda south akaliwa, hawa masupastaa ni dau lako tu. Tena huwezi kuwala kama hujapitia kwa maagent wao[emoji119][emoji119]

Kwa hiyo jamaa akampandisha ndege hadi kwa madiba kisa papuchi!
Ni ushamba ama nini?!
 
Sasa ndio hamuhudumii sasa hivi na mtoto kishampeleka mpaka kwa Billnass,ila Billnass kamtuliza ndoa yake bado changa.

Halafu why HUTAKI KUMZUNGUMZIA BABA YAKE HALISI BILLNASS au kwakuwa Mondi ana hela.

Mimi sijui baba yake halisi ni nani anaweza kuwa hata boda boda wa mtaani.

Nazungumzia sheria na amri ya mahakama.

Dna ambayo matokeo yake yalitumiwa na mahakama kutolewa hukumu yalisema mtoto ni wa diamond.

Hivyo diamond alishaingia mtegoni kwa amri ya mahakama na sheria za Tanzania.

Ndio maana kuna interview diamond analalamika DNA za tanzania ni za uongo. Alitaka wafanye dna zingine nje ya nchi.

Shida mahakama na sheria zetu zinatumia DNA za muhimbili.

Na pia kupunguza watoto wa mitaani huwa zinamlinda mtoto

Chini ni copy and paste ya maneno ya mobetto wasafi fm

""Hamisa Mobetto amezungumza na WasafiFm kuhusiana na tetesi hizo na kusema kuwa ni kweli Diamond alifanya hivyo ili kujihakikishia na majibu yalitoka asilimia 100% mtoto huyo ni wakwake. Hamisa amefunguka “Tulienda hospitali na tukachukuliwa vipimo vinne vinne, wakasema tusubirie wiki mbili au tatu na majibu yakatoka mtoto kwa asilimia zote 100% ni wakwake”
 
Mtoto yule alikubaliwa bila DNA na lile tukio mwanzo mpaka mwisho liliripotiwa na akina Soudybrown,Diamond akaa baadae watu wakamchana akaamua kwenda kuhakikisha kupima DNA na kugundua mtoto sio wake.

Sasa kama hujui mtoto ni wa Billnass na kama hujui Billnass na Mobetto kunawaka huko,MONDI KAKATA HUDUMA ZOTE HATOI HATA SENTI.

Sikulazimishi maana unaonekana ni mbishi ila hiki ninacho kwambia nina uhakika nacho ,yule mtoto hana chake kwa Mondi. Hizi tetesi nilizisikia zamani, nikaja kugundua ni kweli baada ya mama yake Mondi kumwambia asilazimishe undugu na juzijuzi tu hapo Mpoki ndio akamaliza kila kitu. So kama unabisha endelea kubisha .

Msikilize hapo .
 
Ungejua sababu iliyomfanya diamond aandike neno "bora useme" kwenye hiyo topic ya waziri wa afya inayosema msionee watu kwenye majibu ya DNA .

Sababu kuu majibu ya DNA yalivyotoka yalisoma Dylan ni mtoto wake.

Na mahakama imeyasimamia hayo hayo majibu.

Na hayafutiki tena.. hapo ndipo alipokamatwa.

Diamond anajuta kulala na mobetto maana kaingizwa kwenye mtego ambao hawezi kuuruka kisheria.
 
Attachments

  • 109e42afe6c52a50c807a7ee488060f3.jpg
    109e42afe6c52a50c807a7ee488060f3.jpg
    93.7 KB · Views: 25
Na kuhusu kuchumia uchi,kiukweli kumemlipa Sana tofauti na Malaya wengine wa mtaani wanaouza k kwenye magroup ya WhatsApp.

Siku moja nilikutana nae ununio beach anasukuma Land Rover nyeupe Kali Sana,namba plate kaweka jina lake MOBETO.
Malaya wa bongo hawana akili ya uwekezaji mpaka sasa huyo mobeto hana wazo la kutengeneza sabuni yake au perfume anategemea dili tu za matangazo afikirii umri unakwenda uzuri utaisha na hizo land lover atashindwa kuzimud
 
Ungejua sababu iliyomfanya diamond aandike neno "bora useme" kwenye hiyo topic ya waziri wa afya inayosema msionee watu kwenye majibu ya DNA .

Sababu kuu majibu ya DNA yalivyotoka yalisoma Dylan ni mtoto wake.

Na mahakama imeyasimamia hayo hayo majibu.

Na hayafutiki tena.. hapo ndipo alipokamatwa.

Diamond anajuta kulala na mobetto maana kaingizwa kwenye mtego ambao hawezi kuuruka kisheria.
Ndio kishauruka kama hujui na dogo hana chake, ampeleke kwa baba yake halisi tu.
 
Ndio kishauruka kama hujui na dogo hana chake, ampeleke kwa baba yake halisi tu.

Sheria hairukwi kwa maneno ya hear say.

Mahakama ikishagonga hukumu ndio imetoka.

Uhalisia ni kwamba Tanzania ukienda kupima DNA na mtoto yeyote wewe baba unaambiwa ni wa kwako. Na mobetto alikuwa analijua hilo ndipo alipomshinda diamond kisheria.

Diamond hana ujanja kisheria kuhusu yule mtoto . Uliza wanasheria ama hakimu akufunze
 
Back
Top Bottom