Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Duh!..kumbe alibambikwa ?....
 
Hizi ndiyo habari unazoziweza.Lissu humuwezi.
 
Ni ushamba tu. Watoto wazuri wote town tena bado wabichi then uhangaike na magubeli ya mjini hadi kumpandisha ndege.
Aisee vijana mna kazi sana

Inasikitisha sana kuona mwanaume unaonea wivu pesa za mwanaume mwenzio. Unamsaidia kutafuta hela? Kwanini umpangie matumizi mwanaume mwenzio. Au ulitaka akupeleke wewe south???[emoji23]
 
ETI KULINDA MASLAHI YA MTOTO...MAMLAKA YA SERIKALI INADANGANYA MATOKEO YA DNA...NA KUMBAMBIKIZA MTOTO KWA ASIYE BABA YAKE KWELI...

KWAHIYO MAMLAKA HIZO ZIMECHUKUA AKILI ZA HUYO MALAYA NA WENYEWE WAKAWA NA AKILI HIZO HIZO KUMNYIMA MTOTO KUWA NA BABA YAKE HALISI...

ETI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI NDIO TUDANGANYE WATOTO HUYU NI BABA YAKO SIO YULE...! HALI YA KUWA YULE NDIYE BABA YAKE HALISI...

WANATENGENEZA DOGO WANAHARIBU KUBWA ZAIDI...PUMBAVU KABISA...
 
Kadiamond kanajuaga sana kujielezea haka kajamaa
 
Mtoto huyo sio wa Mondi, ndio maana humuoni Mondi kumpost wala kuwa naye karibu na hachangii chochote,zigo hilo sasa hivi analazimishwa Billnass so unamsifia kuwa ni malaya smart ila amefanya umalaya mpaka kasahahu mtoto wa nani.
Zamani kabla hawajagombana Mond amempost sana yule mtoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…