Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Umetumia nguvu kubwa sana kutetea
 
Yaani Tanzania malaya mjanja anatakatisha umalaya wake kama sio kwenye kuigiza basi ataimba hapo thamani yake inapanda au ataanzisha duka la nguo sinza
Teh teh,kesho anakuambia yeye ni kioo cha jamii

Ova
 
Duh! Kumbe huyu dada Ni mjinga kiasi hiki?
 
Dada wa watu kajaaliwa sura kasoro akili.Inasikitisha Sana.
 
Maagent wakina tivu

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa mtu analeta reference statement ya mahakama na wewe unaleta reference sudy brown na mpoki!

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Haswaaa dear
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule si anadanga,Child support anayotoa Majizzo kwa mtoto wake inamtosha ila kwa matumizi mengineyo ya kwake hapo lazima adange.



Majizo alishamchukua Mtoto siku nyingiiii sasa hiyo child support ataitoa kwa misingi ipi?

Kuna wanaume wana misimamo anakwambia nipe Mtoto na usinipangie wa kwenda kuishi naye hata kama ni mama wa kambo ilimradi baba Nipo nitafuatilia hutaki baki na mtoto lakini hata mia sikupi.
Budget za kugawagawanl nani anazitaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…