Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.View attachment 878568
Huyu binti naona anakuzwa sana,she z not of that class...she is too low but she is there coz ya public sympath + u team..!!
 
Huyu binti naona anakuzwa sana,she not of that class...she is too low but ndo hivyo tena public sympath inamuweka kwa peak
Anatumia fursa endelea kumdharau hvyo hvyoo...!!!siku zote ukitaka kufanikiwa kubali kudharaulika....!!!!

Hamisa wa juzi sio wa Jana,wa Jana sio wa Leo wala wa kesho...yuko mbioni kwenda America (yaweza kua wewe umefika pia huko ila wengine bado twatamani kabisaa)so endelea kumdharau!!kaka
 
Watu wanavyojifanya kushangaa wakati wengi tu wameolewa wake wadogo na wameridhia mbona sio kitu cha ajabu,wakristo hawahalalishi lakin nyumba ndogo kibao
Unaaaafiki wa kiwango cha treni za umeme na barabara zake...humu ndo umejaa...

Wengine humu nyumba ndogo tena michepuko...tu!!hasira zao wanamalizia kwa hamisa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]!!!

Jamani wengine waislamu dini yaruhusu!!!
 
Ahahahahahhaha acha tu

Na daimond lazima aje kuwa na wake wawili tuombe uhai
 
Anatumia fursa endelea kumdharau hvyo hvyoo...!!!siku zote ukitaka kufanikiwa kubali kudharaulika....!!!!

Hamisa wa juzi sio wa Jana,wa Jana sio wa Leo wala wa kesho...yuko mbioni kwenda America (yaweza kua wewe umefika pia huko ila wengine bado twatamani kabisaa)so endelea kumdharau!!kaka
ila haibadili ukweli kwamba she z not of that class no matter what....sijamdharau but naongelea ukweli...otherwise best of lucky to her!!
 
Hakuna mwanaume anaekubali kushare unless labda mke wa mtu unajua unapiga alafu unatembea lakini sio kuweka makazi hapo
Hujasikia kenya njemba mbili zilikuwa zimeoa mwanamke mmoja na wakawa wanaishi nyumba moja
 
Wengine walimuongelea diamond mpk BBC [emoji3][emoji16][emoji23]jamani mbona vitu vya kawaida hvyo hata km humpendi mtu!!!sio kihvyo koko !!!

Ni sawa walikuwa na uhusiano ulio public.. na unaona hadi leo watu wengi wanatamani warudiane.. mimi nilifurahi alivyomdampu..
Hamisa alitaka na akashindwa.

Tofautisha mke na side chick.. usijidai wote huwa wanawekwa level moja.. NEVA
Side chick alifikiri atakuwa na life kama ya Z.. hakujua background yake kuwa hata madale ni Z aliimalizia na 100k

Sasa insta leo umeandika nini.. acheni kumtumia homisa kisa chuki kwa Z

Si bora mugeze kuwa na maendeleo

Wivu mbaya duh
Poleni
 
Yani huyu Binti still anampenda Domo kutaka Moyoni pamoja na vibwanga vyote anavyofanyiwa na familia ya Domo in short hajielewi
 
Back
Top Bottom