Njaa mbaya sanaDiamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mbaya sanaDiamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hapana kwa hili angekuwa fukara musingemkubali ila kwa pes zake hamuna ujanja kwa kuwa k haioziHata mi G ningekuta ana mke ningekuwa tayari tu kuwa mke wa pili mnajua mapenzi nyie [emoji57]
AhahahahahHapana kwa hili angekuwa fukara musingemkubali ila kwa pes zake hamuna ujanja kwa kuwa k haiozi
Huo ndo ukweli aise tena ukishapiga mabilion unaanza kumletea nyogoAhahahahah
Waziiii...!!!Mwanamke akitaka kuwa mke wa pili au wa kumi na kula raha anazopata bila tamaa ya kuumiza mke halali.. huwa hawapigi picha na mwanaume kwa kuibia na kuishia kurusha mipicha kutaka kuvuruga walichopanga. Imekula kwake.. mondi hakuwahi kutaka kumuonyesha kwa umma kuwa wapo wote.. huyo binti akubali kuacha kumuongelea kama kweli anataka career ya muziki.. nafikiria akija kuimba mwakani je bafo ataongelea hayo ya mondi hivi au vile. Kashaharibu ajipange kufanya yake bila kumtaja huyo baba mtoto wake aliemuita side woman.. wa side kamwe hawezi kuchukuliwa kama mke mdogo na kusemwa wazi.. alikuwa kwenye tamaa ya pesa na aelewe na kuishi kivyake sasa kitu anajua hawezi ndio maana kila sekunde mondi mondi mondi huku mwanaume hakuwahi kumchukulia hata kama yeye ni mke..
Hivi nani wengine wasanii wa ukweli wanapenda career zao na kujituma bila kutegemea kutaja wanaume wasio wataka bali waliwataka kumwaga tu kwa sababu walikuwepo na udespo.. tuandikieni tuwajue basi.. huyu apite tu.. sie tunaomuamini Mungu tukisia ya kuganga basi tena kizaidi na kutaka kujua..
Binamu umeadimikaNjaa tu mxiew
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui hana mshauri, hebu siku moja amzungumzie Majizzo khaa!! Sio kwa kung'ang'ania huku.Aibuu naona mimi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Badili dini nikuoe peke yako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huo sio uzinzi ni ndoa ........vitabu vyetu vinaruhusu hata mtume wetu alioa wake wa NNE sisi ni nani tulikatae hilo