Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Mwanamke akitaka kuwa mke wa pili au wa kumi na kula raha anazopata bila tamaa ya kuumiza mke halali.. huwa hawapigi picha na mwanaume kwa kuibia na kuishia kurusha mipicha kutaka kuvuruga walichopanga. Imekula kwake.. mondi hakuwahi kutaka kumuonyesha kwa umma kuwa wapo wote.. huyo binti akubali kuacha kumuongelea kama kweli anataka career ya muziki.. nafikiria akija kuimba mwakani je bafo ataongelea hayo ya mondi hivi au vile. Kashaharibu ajipange kufanya yake bila kumtaja huyo baba mtoto wake aliemuita side woman.. wa side kamwe hawezi kuchukuliwa kama mke mdogo na kusemwa wazi.. alikuwa kwenye tamaa ya pesa na aelewe na kuishi kivyake sasa kitu anajua hawezi ndio maana kila sekunde mondi mondi mondi huku mwanaume hakuwahi kumchukulia hata kama yeye ni mke..

Hivi nani wengine wasanii wa ukweli wanapenda career zao na kujituma bila kutegemea kutaja wanaume wasio wataka bali waliwataka kumwaga tu kwa sababu walikuwepo na udespo.. tuandikieni tuwajue basi.. huyu apite tu.. sie tunaomuamini Mungu tukisia ya kuganga basi tena kizaidi na kutaka kujua..
Waziiii...!!!
Hoemisa is a loser who tried to heir the throne of Queen Zari but wasn't smart enough and ended blowing out all the chances she had!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huo sio uzinzi ni ndoa ........vitabu vyetu vinaruhusu hata mtume wetu alioa wake wa NNE sisi ni nani tulikatae hilo
Badili dini nikuoe peke yako
 
Back
Top Bottom