Mkuuu numby usiku mwema ,Mungu akijaalia kesho!!
Ukiwa na Mpunga haina tatizo mkuu,wanaumia endapo unamshindisha na madela na dagaa wachungu wa mwanza na ngogwe halafu asikie unademu/mke mwingine lazima moto uwake maana atafikiria kwamba unamtesa yeye kwa njaa ila Bi_mdashi unampa mahela kama yote.Ila wanawake wana mioyo ya tofauti sana sana. Wabarikiwe sana mama na dada zetu. Kushare siyo kitu rahisi rahisi kwa mwanaume; jambo linaloweza hatarisha uhai wa mtu hiv hiv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi simchukii bibi yenu jamani uzee ule ntapata radhi!!!
Ukweli ni kua daimond hajawahai kuoa na wala hajaoa
Zari na wengine wote walikua wanaziniwa hadharaaaaanii...anashikwa mbele za hadhara..anaziniwa hadharaniii.....!!
Hakua ameolewa wala kuchumbiwa alikua anadhihirisha zinaaaa!!!
Tulitarajia amuongelee zaidi baba wa first born wakeNi ngumu kwa sababu ni sehemu ya maisha yakee...lazma amuongeleee...
Watu wa humu wakikuchukia tafrani yaani wao wanajiona wakamilifu
Mwanaume huwa anakuwa anampenda mwanamke mmoja ila ,kula mzigo ndo haweziridhishwa hata na kumi lazima achepukeEbu ifungue hii attach mkuuView attachment 878828
mkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.Mwana umleavyo ndivyo akuavyo...walishalelewa hvyoo...!!!
Hamisa anaweza akawa mweupe kichwani ila atakaa vzr tu hakuna kitu kigumu kama kuongea mbele ya hadhira
Wengi wanaomsifia na ujinga wake wana ubongo wa kuku kama wake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] .mkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.
Tatizo ni unachoongea!
Na si dalili ya mafanikio ...ni wale wale ....
Cha muhimu ajielewe! na abadili mitizamo...akiweza ..maana inaonyesha..yuko down sana ...
Asitumie hiki ki umaarufu kujikweza...aache hadhira impandishe chati!
Marafiki zake wana ubongo kama wake ...hamna kitu pale ajitathmini!
mkiwa hivi hamfiki mbali! kuishi kwa kiki!
Nampenda ila namhurumia!
Angalia Jokate...alijitathmini..akachange gia na sasa yuko...
Ahsante kwa ushaurimkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.
Tatizo ni unachoongea!
Na si dalili ya mafanikio ...ni wale wale ....
Cha muhimu ajielewe! na abadili mitizamo...akiweza ..maana inaonyesha..yuko down sana ...
Asitumie hiki ki umaarufu kujikweza...aache hadhira impandishe chati!
Marafiki zake wana ubongo kama wake ...hamna kitu pale ajitathmini!
mkiwa hivi hamfiki mbali! kuishi kwa kiki!
Nampenda ila namhurumia!
Angalia Jokate...alijitathmini..akachange gia na sasa yuko...
Exactly...!Wengi wanaomsifia na ujinga wake wana ubongo wa kuku kama wake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] .
Anaishi kwa Kiki tu afanye la maana apande chat kila siku ni kulialia tu .
Hili wanawake huwa hawalijui. Mwanaume huwa anampenda mmoja hata akiwa na wanawake 10. Kama ukifuatilia ndoa nyingi za mitala utakuta mwanaume ameegemea kwa mwanamke mmoja kuliko wengine. Mwanamke anapoolewa kwenye mitala aweke hii kichwani ole wake afike huko akute yeye ndiyo hapendwi ataiona ndoa chungu atajikuta yupo kwenye ndoa kama second class au third, upande wa pili wakila kuku kwake matembeleMwanaume huwa anakuwa anampenda mwanamke mmoja ila ,kula mzigo ndo haweziridhishwa hata na kumi lazima achepuke
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huo sio uzinzi ni ndoa ........vitabu vyetu vinaruhusu hata mtume wetu alioa wake wa NNE sisi ni nani tulikatae hiloUtaitwa nyaku nyaku bibie huogopii...!!![emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuitwa nyaku nyaku!!!
Hapo chachaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
Kwa ambao hawajagundua inaonekana Hamissa Mobetto anamkubali sana Diamond Platnumz, anamove on kwa pressure ya mashabiki wake ila Diamond Platnumz akimtaka anampata mashabiki wataumbukaje?
Sasa huku sio ku-share?Hakuna mwanaume anaekubali kushare unless labda mke wa mtu unajua unapiga alafu unatembea lakini sio kuweka makazi hapo