Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]usiku murua pia,na ndoto njema mkuu leo umenifurahisha daah mambo ni motoo
Mkuuu numby usiku mwema ,Mungu akijaalia kesho!!
 
Ila wanawake wana mioyo ya tofauti sana sana. Wabarikiwe sana mama na dada zetu. Kushare siyo kitu rahisi rahisi kwa mwanaume; jambo linaloweza hatarisha uhai wa mtu hiv hiv
Ukiwa na Mpunga haina tatizo mkuu,wanaumia endapo unamshindisha na madela na dagaa wachungu wa mwanza na ngogwe halafu asikie unademu/mke mwingine lazima moto uwake maana atafikiria kwamba unamtesa yeye kwa njaa ila Bi_mdashi unampa mahela kama yote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi simchukii bibi yenu jamani uzee ule ntapata radhi!!!

Ukweli ni kua daimond hajawahai kuoa na wala hajaoa
Zari na wengine wote walikua wanaziniwa hadharaaaaanii...anashikwa mbele za hadhara..anaziniwa hadharaniii.....!!

Hakua ameolewa wala kuchumbiwa alikua anadhihirisha zinaaaa!!!

Eeeh
Ndoa ndoa.. ndio maana ni more that a sista/broda kwake..

Biashara mbele..

Hata Cardi B nae alipitia ila yao ikafichuka mapema

Iyena ndio kilichojiri.. hivi nimepatia jina la mwimbo au..

Bibi basi wewe utakuwa ulizawa na wa miaka ya 10-12.. eeeh miaka naniliiu alikuwa anafichwa eti alianza nae akiwa na miaka 12 au 13.. ha ha haaa au lini.. uongo wa uhusiano ambao haukuwepooo..

Mganga yupi anapifa dili siku hizi?
Hujamrusha insta mganga sijui muomba kondoo mweusi..

Haya tusome tupite.. mtajiju na side chick aliye last chini ya miaka miwili.. no kupendwaa kabisaaa eeeh.. bora bibi yenu nyie watoto.. share holder pia kwa mengine ta mondi.. lieni kutaka kurushwa insta huku hata gari mtu huwezi lala hadi asubuhi.. mje niwafunze ulady mupae.. sio kuwa hivi👇🏽👇🏽👇🏽

1537999424928.jpg
 
Ni ngumu kwa sababu ni sehemu ya maisha yakee...lazma amuongeleee...

Watu wa humu wakikuchukia tafrani yaani wao wanajiona wakamilifu
Tulitarajia amuongelee zaidi baba wa first born wake
 
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo...walishalelewa hvyoo...!!!

Hamisa anaweza akawa mweupe kichwani ila atakaa vzr tu hakuna kitu kigumu kama kuongea mbele ya hadhira
mkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.
Tatizo ni unachoongea!
Na si dalili ya mafanikio ...ni wale wale ....
Cha muhimu ajielewe! na abadili mitizamo...akiweza ..maana inaonyesha..yuko down sana ...
Asitumie hiki ki umaarufu kujikweza...aache hadhira impandishe chati!
Marafiki zake wana ubongo kama wake ...hamna kitu pale ajitathmini!
mkiwa hivi hamfiki mbali! kuishi kwa kiki!
Nampenda ila namhurumia!
Angalia Jokate...alijitathmini..akachange gia na sasa yuko...
 
Hicho KIJANAMKE HAKIJIELEWI....Mara aseme yeye na DIAMOND WANA UHUSIANO 10 years now,,,Mara diamond nilikuwa nataka kuwa Mke Wa pili,,,mradi tu aeleweke kwa jamii,,,lakini kwa kifupi hicho KIJANAMKE ni KISHENZI,,,kama wengine,,,,,halafu ZAIDI ya KUJIBINUA BINUA MAKALIO hana cha ZIADA ,,,
 
mkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.
Tatizo ni unachoongea!
Na si dalili ya mafanikio ...ni wale wale ....
Cha muhimu ajielewe! na abadili mitizamo...akiweza ..maana inaonyesha..yuko down sana ...
Asitumie hiki ki umaarufu kujikweza...aache hadhira impandishe chati!
Marafiki zake wana ubongo kama wake ...hamna kitu pale ajitathmini!
mkiwa hivi hamfiki mbali! kuishi kwa kiki!
Nampenda ila namhurumia!
Angalia Jokate...alijitathmini..akachange gia na sasa yuko...
Wengi wanaomsifia na ujinga wake wana ubongo wa kuku kama wake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] .
Anaishi kwa Kiki tu afanye la maana apande chat kila siku ni kulialia tu .
 
mkuu kuongea mbele ya hadhira si tatizo ikiwa umedhamiria.
Tatizo ni unachoongea!
Na si dalili ya mafanikio ...ni wale wale ....
Cha muhimu ajielewe! na abadili mitizamo...akiweza ..maana inaonyesha..yuko down sana ...
Asitumie hiki ki umaarufu kujikweza...aache hadhira impandishe chati!
Marafiki zake wana ubongo kama wake ...hamna kitu pale ajitathmini!
mkiwa hivi hamfiki mbali! kuishi kwa kiki!
Nampenda ila namhurumia!
Angalia Jokate...alijitathmini..akachange gia na sasa yuko...
Ahsante kwa ushauri
 
Kwa ambao hawajagundua inaonekana Hamissa Mobetto anamkubali sana Diamond Platnumz, anamove on kwa pressure ya mashabiki wake ila Diamond Platnumz akimtaka anampata mashabiki wataumbukaje?
 
Mwanaume huwa anakuwa anampenda mwanamke mmoja ila ,kula mzigo ndo haweziridhishwa hata na kumi lazima achepuke
Hili wanawake huwa hawalijui. Mwanaume huwa anampenda mmoja hata akiwa na wanawake 10. Kama ukifuatilia ndoa nyingi za mitala utakuta mwanaume ameegemea kwa mwanamke mmoja kuliko wengine. Mwanamke anapoolewa kwenye mitala aweke hii kichwani ole wake afike huko akute yeye ndiyo hapendwi ataiona ndoa chungu atajikuta yupo kwenye ndoa kama second class au third, upande wa pili wakila kuku kwake matembele
 
Utaitwa nyaku nyaku bibie huogopii...!!![emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuitwa nyaku nyaku!!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huo sio uzinzi ni ndoa ........vitabu vyetu vinaruhusu hata mtume wetu alioa wake wa NNE sisi ni nani tulikatae hilo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
Hapo chachaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kwa ambao hawajagundua inaonekana Hamissa Mobetto anamkubali sana Diamond Platnumz, anamove on kwa pressure ya mashabiki wake ila Diamond Platnumz akimtaka anampata mashabiki wataumbukaje?

Ndio itakuwa kama wema sepetu kipindi kile na timu wema na ile slogan yao bring back our wema 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom