Mwanamke akitaka kuwa mke wa pili au wa kumi na kula raha anazopata bila tamaa ya kuumiza mke halali.. huwa hawapigi picha na mwanaume kwa kuibia na kuishia kurusha mipicha kutaka kuvuruga walichopanga. Imekula kwake.. mondi hakuwahi kutaka kumuonyesha kwa umma kuwa wapo wote.. huyo binti akubali kuacha kumuongelea kama kweli anataka career ya muziki.. nafikiria akija kuimba mwakani je bafo ataongelea hayo ya mondi hivi au vile. Kashaharibu ajipange kufanya yake bila kumtaja huyo baba mtoto wake aliemuita side woman.. wa side kamwe hawezi kuchukuliwa kama mke mdogo na kusemwa wazi.. alikuwa kwenye tamaa ya pesa na aelewe na kuishi kivyake sasa kitu anajua hawezi ndio maana kila sekunde mondi mondi mondi huku mwanaume hakuwahi kumchukulia hata kama yeye ni mke..
Hivi nani wengine wasanii wa ukweli wanapenda career zao na kujituma bila kutegemea kutaja wanaume wasio wataka bali waliwataka kumwaga tu kwa sababu walikuwepo na udespo.. tuandikieni tuwajue basi.. huyu apite tu.. sie tunaomuamini Mungu tukisia ya kuganga basi tena kizaidi na kutaka kujua..