Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
johari ashasemaga
mmmhhhh!!!wenzangu wanaolewa mie kazi yangu kuolewa kwenye muvi tu siju lini nami itakua kweli
nilimuonea huruma
alafu dizaini kama kuolewa kwenye movies kunatia gundu, huwezi jua johari kuolewa kwingi kwenye kuigiza ndio kumemuondolea baraka, sasa huyu hamisa muache move ya kwanza tu na shela, awaulize wenzake.