Hamisa Mobeto: Sifikirii "NDOA", nakula Ujana

Hamisa Mobeto: Sifikirii "NDOA", nakula Ujana

Uwiiiii ana uzuri gani jamani au ni yale mashavu....jibaba la haja....ptuuu siwezi hata kumkiss mimi

Jamani maji ya kunde ana sura nzuri sio mbaya kama ndiku ck ye ni mnenee
 
Katika wadada wote wa mjini ni nani aliyekukosha zaidi kunako mavituzzzz

Ahh asee kuna wawili hao sitowasahau! Neynainai na mwingine anaitwa Tuerny ,, huyo tuerny keishaolewa saivi ila bado nakula mambo ,
 
Jukwaa la kupunguza stress. Ahsante warumi kwa maubuyu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom