Hamisa Mobeto: Sifikirii "NDOA", nakula Ujana

johari ashasemaga
mmmhhhh!!!wenzangu wanaolewa mie kazi yangu kuolewa kwenye muvi tu siju lini nami itakua kweli
nilimuonea huruma

alafu dizaini kama kuolewa kwenye movies kunatia gundu, huwezi jua johari kuolewa kwingi kwenye kuigiza ndio kumemuondolea baraka, sasa huyu hamisa muache move ya kwanza tu na shela, awaulize wenzake.
 
Hahahaaaaa sasa umetuambia ya nini kama hutaki maswali jamani?
Vipi sasa kama jamaa akitaka papuchi ndani ya hizo siku 7?ptuuu si kutanuka kama panya aliyeoza jamani?

Ukitaka uzuri sharti udhurikeee heheeee akitaka si unamuambia unaumwaaa ndani ya hizo siku 7 unaigiza mgonjwaaa
Maswali sijajiandaa sikutegemea kuulizwa maswalii hhhhhaaaa
 
alafu dizaini kama kuolewa kwenye movies kunatia gundu, huwezi jua johari kuolewa kwingi kwenye kuigiza ndio kumemuondolea baraka, sasa huyu hamisa muache move ya kwanza tu na shela, awaulize wenzake.

wolper,hamisa na johari wataolewa lakini sio bongoo
mwenzao irene aliokota dodo kwenye mtende
 
We mwana wee... unataka aoze k?
Nyama siku mbili tu funza, ndio ikae siku 7 na joto la kwenye K si atakufa????
 
wolper,hamisa na johari wataolewa lakini sio bongoo
mwenzao irene aliokota dodo kwenye mtende

usiseme wataolewa mbele lakini, manake sio type za wazungu hizi labda congo, irene kweli aliokota dodo kwenye mlimao lakini nijua anasafisha nyota tuu yule, manake yule mumewe awwwwww!!!! (in chinez voice) hivi ulishawahi kumuona live??? nilimuonaga pale mlimani city siku moja enzi zile bado wapo wote mbona nilianza kumfata kwa nyuma, nikasema acha nionekane mshamba, manake nikichokuwa ninakiona na nikichokuwa ninakiona kwenye magazeti ni mbingu na ardhi, jamani the guy is ugly, anasura kama ngedere alafu mchafu chafu alikuwa kama chokoraa flani au wale makuli wa kariakoo, pyeeeee!!!
 
Nooo Paula my dear...usimseme hivyo binadamu mwingine jamani!
Huyo Irene aliolewa na huyo ndiku wa nini kama alimuona mbaya?mpuuzi tu yule
 
Ukitaka uzuri sharti udhurikeee heheeee akitaka si unamuambia unaumwaaa ndani ya hizo siku 7 unaigiza mgonjwaaa
Maswali sijajiandaa sikutegemea kuulizwa maswalii hhhhhaaaa

Hahahaaaaa mimi hoi jamani hapo hujajiandaa kuulizwa maswali.....
 
Nooo Paula my dear...usimseme hivyo binadamu mwingine jamani!
Huyo Irene aliolewa na huyo ndiku wa nini kama alimuona mbaya?mpuuzi tu yule

sorry kwa maneno makali but take it from me, ndiku sio type ya irene hata doti, hana mvuto jamani kwanini nisiseme lakini irene alikubali proposal ya ndoa kutafuta tuu kick, hasa akipiga picha kuitwa muke wa msakata kabumbu wa timu kubwa za mbele, kumbuka ndiku alikuwa analipwa vizuri huko Cyprus, irene akahamishia maisha yake kwenye ndege, alivyofulia tuu kufikia hatua ya kupanga sinza irene hakutaka hata kuongozana nae!!! ndiku wa watu akawa anatembelea naoh ambazo ndio daladala huko mikoani. pesa ndio iliyomuweka irene kwa ndiku nakuambia.
 
Hahahaaaaaan ndiku jamani mbaya MUNGU atusamehe aliolewa kutoa gundu na alikua ana hela zilivyoisha tu bibie ndukiii
hakumpenda yule mwanaume mtoto wa uwoya copyright na dude
 
Hilo nalijua kabisa kua alifuata pesa....lakini malipo yake si unayaona?Mungu mkubwa bwana...huyo Irene yuko wapi?mbona kachoka + kufulia kama nini....
 
Nooo Paula my dear...usimseme hivyo binadamu mwingine jamani!
Huyo Irene aliolewa na huyo ndiku wa nini kama alimuona mbaya?mpuuzi tu yule

show off
ila ndiku ndgu yangu mmmhhhh shika lako mwanangu
 
Hahahaaaaaan ndiku jamani mbaya MUNGU atusamehe aliolewa kutoa gundu na alikua ana hela zilivyoisha tu bibie ndukiii
hakumpenda yule mwanaume mtoto wa uwoya copyright na dude

hahahahaa umeonaee wanasemaga tema mate chini manake na sisi tunazaa, hata irene kule mwanzo kabisa alimkataa akasema hicho kichokoraa nani anakitaka, lakini alivyopewa CV yake fasta akabadilisha msimamo,unakumbuka enzi za joyce kiria na kipindi cha bongo move alihojiwa akasema anavompenda hata akatike vipande vipande atampenda tuu yakowapi???
 
Hilo nalijua kabisa kua alifuata pesa....lakini malipo yake si unayaona?Mungu mkubwa bwana...huyo Irene yuko wapi?mbona kachoka + kufulia kama nini....

na sisi kazi yetu kubwa ni kuwachamba tuu yani tutawachamba chamba chamba mpaka wachubuke bandle likiisha tunakopa, charge tunatembea na energy seva, 24/7 tumo humu kama tunalipwa vile. heheheiiiyaaaaa.
 
Hahahaaaa humu tunaondoa stress na ndoa zetu zinadumu...anayekonda kisa mapenzi kajitakia tu...Mimi walaaaa huyoooo JF nikichoka kwa sintah,mange,instagram
Hizo stress zitoke wapi sasa?
 
Hhhhhhhaaaaaaaa una maneno weyeeeeee
 
na sisi kazi yetu kubwa ni kuwachamba tuu yani tutawachamba chamba chamba mpaka wachubuke bandle likiisha tunakopa, charge tunatembea na energy seva, 24/7 tumo humu kama tunalipwa vile. heheheiiiyaaaaa.

Kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
nakumbuka na ndoa yao shhurti farasi
heshma pesa shikamoo makelele
anajut ht kuolewa kwenyewe mtoto dude mtupu
 
Una maneno wewe kama kitabu..ni noma! Nahisi kule kwenye kutunga taarabu utawasaidia sana wale!duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…