Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa akomae.. Aende hata THT akajifunze zaidi!!Acha kumkatisha tamaa binti wa watu! Hilo Ni pepo la kukata tamaa! Hata Diamond aliambiwa hajui kuimba! Hamonizer naye je? Si aliambiwa hajui kuimba. Mwache ahangaike Kuna siku atafaulu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
utashangaa anapiga hela na nyimbo zake unazoziona mbovu kuliko wewe
Tupo wengi kumbeNimeusikiliza wimbo wake hata nusu sikufika nkaachana nao
Niko studio namuandalia haji manara bonge la.beat,stay tuned mkuuMkuu dunia ya leo iko tofauti sana. Biashara ya muziki imebadilika sana. Malipo ya fedha kwa wasanii kwa njia ya mitandao kama Youtube imebadili sana biashara ya muziki.
Leo mtu maarufu mwenye followers 500,000 Instagram akitoa nyimbo kisha akailink na Youtube. Basi anajua watu 400,000 wataiangalia (thats Money). Sasa hapo kinachoongoza sekta ya muziki ni umaarufu mitandaoni., sio tu ubora na ubunifu wa nyimbo, bali ni jina kubwa mitandaoni. So Hamisa tusimshangae wala kumbeza. Ndio biashara ya muziki iko hivyo sasa.
Enzi..
Sasa.
Mtoni enzi..
Sasa.
Dunia inakimbia sana, teknolojia inaathiri kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kamsaidie kukinga hizo helautashangaa anapiga hela na nyimbo zake unazoziona mbovu kuliko wewe
Upo sahihi hamisa hana kipaji cha kuimba.Lakini unasahau hapa Tanzania suala la kipaji kwenye kazi fulani halina mashiko tena.ila juhudi binafsi za mtu na ujanja ujanja ndio njia mbadala wa kipaji.kwani leo hii umesahau harmorapa alipata mpaka shows.akalinganishwa mpaka na harmonize.humuoni Nuhu mziwanda anapiga shows.Ama hujawahi kumtazama Beka ibrazoma.na kipaji chake hajawahi hata pata shows za maana wala kutrend kwenye media kama abdu kiba.hiyo ni kwa ufupi tu hapa Tanzania ni tofauti mno unapokuja kuzungumzia suala la kipaji katika sanaa. Kinachotakiwa ili utoboe ni ujanja ujanja na juhudi binafsi (pesa,ngono, kujipendekeza n.k.) rudi kwenye filamu umesahau watoto waliomkalisha GABO..mpaka hapo sioni haja ya kipaji kuwa muhimu.Nani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu.
Maana anachoimba ni jina lake tu ndo linafanya watu wasikilize bila hvo nazani ni trash music ambao haustahili hata yeye mwenywe kuusikiliza.
Mwambieni awaachie wenye fani zao maana kulala na msanii hakukufanyi na ww ujue kuimba aiseeh. Anaharibu carrier za watu wanashindwa kupata air time kwaajili ya uchafu wao