Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Mondela

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
2,567
Reaction score
3,777
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
We nae kumbe fala sana kuna nyimbo ya marehem Mangwair inaitwa bado hujawajuwa mademu.Bro hukuona hata ile movie inaitwa king kong demu anampenda yule mdudu hadi akatoroka kumfata. Mkuu mji huu una wenyew wa bush rudi shamba.
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
 
Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…