Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ndiyo Kila kitu kwenye mahusianoKama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi SanaSiku nyingine akienda kubeba hayo magunia, nenda kamsaidie mkuu.
Wenzako huwa wanaangalia hapo palipoandikwa Networth na sio Weight...Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]