Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Halafu akiambiwa abebe mtungi wa gesi anadai amechoka, anamuita boda akaubebe
 
Katika swala la hamisa na rick....kinachonishangaza ni wanaume kukasirika, kwani kinachowafanya kukasirika ni nini????
Kuna kitu nimewaza sababu je na wewe umewaza kama mimi[emoji848][emoji848]
 
Kuna kitu nimewaza sababu je na wewe umewaza kama mimi[emoji848][emoji848]
Sababu ni nini Witty? Mi hadi sasa sijajua kwakweli....nilitegemea makasiriko yangekua kwetu team zari 😁, team mama dangote na wanawake woteee tulioumbwa na wivu mixa visokolokwinyo.

Kwa hilo la upande wa wanaume sijajua hadi sasa na bado inanishangaza
 
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanaume tattoo kama Chatu. Huyu hanisogelei. Kwanza Sitateleza. Kwa Binti yule Bora aendelee na Break Price. This is Dying for Fame.
 
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Samahani mkuu, wewe ni mwanaume?
Kama ni mwanaume, jitafakari sana[emoji120]
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
Wadangaji hao wanateteana nankupigiana Promo[emoji16]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hamna jipya kwa wanawake, hiyo mizigo wanaibeba kawaida tu hata hapa bongo.
Tofauti ni wa mobeto ni star mkubwa duniani.
 
Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubadilisha maji kwenye dispenser anabeba mkononi huyu hambebi mkononi[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Samahani mkuu, wewe ni mwanaume?
Kama ni mwanaume, jitafakari sana[emoji120]
Naww ni mwanaume au mwanamke? Ukinijibu wewe basi namimi hilo ndio jibu.
 
Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom