Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kuna kitu nimewaza sababu je na wewe umewaza kama mimi[emoji848][emoji848]Katika swala la hamisa na rick....kinachonishangaza ni wanaume kukasirika, kwani kinachowafanya kukasirika ni nini????
Sababu ni nini Witty? Mi hadi sasa sijajua kwakweli....nilitegemea makasiriko yangekua kwetu team zari 😁, team mama dangote na wanawake woteee tulioumbwa na wivu mixa visokolokwinyo.Kuna kitu nimewaza sababu je na wewe umewaza kama mimi[emoji848][emoji848]
Kumbe wanajipimia? Wanajipimiaje? Mimi ni mjinga, naomba nipewe elimu hii mpya kwangu.Kwani lazima amuweke kifuani, siku hizi wanajipimia wenyewe [emoji41][emoji41][emoji41]
Mwanaume tattoo kama Chatu. Huyu hanisogelei. Kwanza Sitateleza. Kwa Binti yule Bora aendelee na Break Price. This is Dying for Fame.Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samahani mkuu, wewe ni mwanaume?Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wadangaji hao wanateteana nankupigiana Promo[emoji16]Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
Wewe ni ke au me?Kumbe wanajipimia? Wanajipimiaje? Mimi ni mjinga, naomba nipewe elimu hii mpya kwangu.
Kubadilisha maji kwenye dispenser anabeba mkononi huyu hambebi mkononi[emoji3526][emoji3526][emoji3526]Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mkuu, wewe ni mwanaume?
Kama ni mwanaume, jitafakari sana[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar mnamuonea wivu Mobetto[emoji28][emoji28]
Nyimbo ya John iyo[emoji12]The bigger the bullet, the more that bitch go "Bang"
Ni wivu TU unawasumbuaWengi wanaoponda muonekano wa liklosi ni wakaka.
Empty minds, Empty pockets.
Maniner.