Mkuu wewe je?
Mimi nam support sana huyu mtoto ana mapungufu lakini ni utoto akikua ataacha.
Acha atengeneze pesa ya kulea wajukuu zetu damu yetu Tz.
Kuna kitu si bure. Bora afocus sasa kwenye mambo yake ya msingi na ya kujenga.Why?!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] madam una akili sana umeona eeeehhh!!!Kuna kitu si bure. Bora afocus sasa kwenye mambo yake ya msingi na ya kujenga.
Hoja hujibiwa kwa hoja, nitakujibu hapa hapa.Sio kweli!
Lulu ana nyumba,ana duka la nguo.
Zamaradi nae pia yuko vzr
Wolpa ana house of fashion
Shilole anaimba na anauza chakula
Eshe Buheti anauza chakula na vitafunwa
Wengi wanaamka na kujitambua tuwapeni sapoti tuache negativity
Hao wauza uchi hata humu wapo
Hivi mtani una hisa WCB maana huwa sikuelewi!!Mkuu umesahau kuweka picha za bidhaa kama sample...
Mahali duka lilipo
Bei za bidhaa ili wanunuzi waende na pesa...
Umeona eehHongera yakee asiishie hapo. Ndivyo inavyotakiwa sio kulilia child support.
Hahahaaaa!! Kuna namna mpz, yaani kama ni kweli basi nampa boonge la big up. Afungue tu duka tutamuungisha mwanamke mwenzetu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] madam una akili sana umeona eeeehhh!!!
Watu wanalambwa visogooo!ht Mimi nililiwaza nikakonekti doti....jibu likaja
Sana tu maana ile kesi dai ingemnyea lipo lililitendeka...Hahahaaaa!! Kuna namna mpz, yaani kama ni kweli basi nampa boonge la big up. Afungue tu duka tutamuungisha mwanamke mwenzetu.
Nimekupata BAKSi unaona bandiko langu Pakawa. Siwezi kumtakia mabaya Mtanzania mwenzangu au binadamu mwenzangu hakuna asiye na mapungufu kitabia. Si ajabu hata mwenyewe hili sakata la kesi analijutia na angepewa nafasi nyingine labda hiyo laki 5 kwa mwezi angeendelea kuichukua kimya kimya bila kuanika mambo hadharani.
Kuchangamkia fursa inategemea mtu na mtu. Maybe unawaona wanauza kwakuwa ni maarufu ila hawana tofauti na wanawake wengine.Hoja hujibiwa kwa hoja, nitakujibu hapa hapa.
Nimesema zaidi ya 90% ya wasanii wa Tz hawajui kufanya biashara zaidi za kudandia fursa na kutafuna mitaji tu, hivyo kama kuna wasanii wamepiga hatua kibiashara basi labda hiyo 10% iliyobakia.
Tuje kwa hao wakina Lulu, Wolper, Shilole. (Sijui kuhusu Zamaradi kama ni msanii au ni mtangazaji). Embu tuwe wakweli hapa, ukiondoa biashara ya kuuza Uchi, hivi hizo biashara zingine ndio zinawalipa hapa mjini?
Hivi wewe huwezi kujiuliza haya...
1/Mwanamke anayemudu biashara zake vyema, umalaya wa nini tena?
2/Mwanamke mwenye biashara yake nzuri, kwanini yuko kutwa instagram kupost picha zake za nusu uchi na wala sio bidhaa zake za biashara?
3/Mwanamke mwenye kumudu biashara zake vyema, hataki kuolewa lakini kutwa yuko kudandia wanaume. Hii inakuwaje?
Formation imevurugwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jiulize wewe unaekomaa na hamisa kuliko ya kwako binafs
Katoto ka 24yrs kanawajambishaaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimekupata BAK
Lakini inawezekana mtaji ulitoka kwa aliyepelekwa mahakamani
Kuna mtu anadanganywa hapa
Anyways tunawaombea heri wakuze watoto!
Hao niliokutajia kwa sasa wako busy na bizness!Hoja hujibiwa kwa hoja, nitakujibu hapa hapa.
Nimesema zaidi ya 90% ya wasanii wa Tz hawajui kufanya biashara zaidi za kudandia fursa na kutafuna mitaji tu, hivyo kama kuna wasanii wamepiga hatua kibiashara basi labda hiyo 10% iliyobakia.
Tuje kwa hao wakina Lulu, Wolper, Shilole. (Sijui kuhusu Zamaradi kama ni msanii au ni mtangazaji). Embu tuwe wakweli hapa, ukiondoa biashara ya kuuza Uchi, hivi hizo biashara zingine ndio zinawalipa hapa mjini?
Hivi wewe huwezi kujiuliza haya...
1/Mwanamke anayemudu biashara zake vyema, umalaya wa nini tena?
2/Mwanamke mwenye biashara yake nzuri, kwanini yuko kutwa instagram kupost picha zake za nusu uchi na wala sio bidhaa zake za biashara?
3/Mwanamke mwenye kumudu biashara zake vyema, hataki kuolewa lakini kutwa yuko kudandia wanaume. Hii inakuwaje?
Enhee sio kulilia kuongezewa Pesa za matunzoUmeona eeh