BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Si unaona bandiko langu Pakawa. Siwezi kumtakia mabaya Mtanzania mwenzangu au binadamu mwenzangu hakuna asiye na mapungufu kitabia. Si ajabu hata mwenyewe hili sakata la kesi analijutia na angepewa nafasi nyingine labda hiyo laki 5 kwa mwezi angeendelea kuichukua kimya kimya bila kuanika mambo hadharani.
Mkuu wewe je?
Mimi nam support sana huyu mtoto ana mapungufu lakini ni utoto akikua ataacha.
Acha atengeneze pesa ya kulea wajukuu zetu damu yetu Tz.