ndo milion 5 ,haki ya mtoto sio yakeChild support ni haki yake ile mimba haijatoka kwa roho mtakatifu !!!
Duuuuh!!! Ngoja tusubiri hukumu.Jumatatu november 13 ndo hukumu. Kesho lulu lazima aende kanisani
Mpaka amchoke yule kwanza...mpaka amaloze naye nguvu za ujana....maana ni kama dalili hazipo.Diamond alisema imani yake inaruhusu wanne upooo?!
wanaume tnapendaga mteremko kwa akili aliyo nayo zari domo awez kumwacha na ni kwasabab mahusiano yao yanamnufaisha domo sana!!Sawasawa!
Lakini Zari haachwi...
Kwahiyo wewe shida yako kwa misa ni ipi haswa!!!
Huwezi jua anayempa hiyo jeuri, hawezi kuwa na jeuri hivi hivi!!Shida yangu ni pale side chick anapoleta jeuri that is it. Akome