Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

Sawasawa!
Lakini Zari haachwi...
wanaume tnapendaga mteremko kwa akili aliyo nayo zari domo awez kumwacha na ni kwasabab mahusiano yao yanamnufaisha domo sana!!

kuliko zari anavonufaika na huu uhusiano
domo awezi kua mbwa asie winda never awezi acha kupitia vitoto vizur et kwa sabab ya tukinao wanaume hatuko ivo tena kama tnajua unanpenda ndo nachepuka ukinkamata nakuomba msamaha nakuletea na perfume bas unafurah mwenyewe
unajipa moyo et maza hausi
maza ausi kwa ajili ya akili yako tuuu na sio uzuri wako

trust me wazuri wote wako single same to amisa and zari
 
Lini uliwahi kunishuhudia nikimchukia zari!! Thibitisha.

Ungejibu kwanza swali langu bila kujump into conclussions. Hapa namtetea Misa maana uzi unamuhusu misa.
Umeona eeeh!wako obsessed na misa jamani kaaah!
 
Mie nna biashara my dia..uzur biashara nilianza kufanya tokea nikiwa mdogo kwa kweli nna base kubwa ya wateja kiasi kwamba wanazifuata wenyewe!haina haja ya kupiga mboyoyo...[emoji5]
Saaafi hongera my dear
 
Si ndoile ml5 kwa mwezi alikua anataka ajazie hapo
 
Pongezi kwa Hamisa, angalau umeuonyesha ulimwengu kua wewe bado ni shupavu umesemwa sana! Unasemwa sana na bado utaendelea kusemwa wewe waonyeshe kwamba yanaingilia kushoto na kutokea kulia! Hiyo ndio sifa ya mwanamke shupavu
 
Back
Top Bottom