Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Welcome to Tanzania. Nchi ambayo mwanamke (mwenye wazazi) anazaa na mwanaume wa mtu na anaona fahari kabisa. Zile siku ambazo mwanamke aliolewa, akakaa kwenye ndoa yake kwa heshima na huku akitaka kuheshimiwa na mumewe zilienda wapi?

Zari ana akili sana. Kunyamaza ni dawa kweli kweli. Hata kama hamisa amezaa na diamond, hakuna ufahari wowote wa kujivunia hapo! Angekaa kimya akipata child support agange njaa.
 
Domo anatabia za Kishamba sana kweli mtoto wa uswahilini habadiliki hata umuweke vp kama kunguru
 
Halafu huyo ndio anaitwa mama kisa kaingia leba. Kuna mtu tulibishana sana.

Kwa kutumia reference ya mama angu huyo hata dada angu hawezi kuwa.
Hakika yaan anajidhalilisha sana. Mbona ht kukaa kimya nalo ni jibu tosha.
 
Yaan mi naona hamisa anajidhailisha tu jamani, hapa kweli kuna mwanaume atakuja kutia mguu kutaka kuoa?
Kwnn asingekaa kimya tu, najisikia aibu km ndio mm.
Mtu kama anakukubali wala huwa haitumiki nguvu kubwa hv kujitangaza. Km hali ndio iko hivi ndio mana majizo aliondoka zake.
 
View attachment 591318 jina limebadilishwa na kama mnavyoona picha baba wa mtoto ni daimond ,na za chino ya kapeti mama mtu na Esma eti hiyo ni kumkomesha zari[emoji23][emoji23]
Hamissa nilikua nasubiri hii siku maana nilikua siamini
Kesho daimond sijui atasemaje,na hapo unaambiwa Hamisa hajanya akinya team zari mtakufwa na presha,,,
Hata mi ningekuwa hamissa huko kukanwa vepe kwani Zari ana nini
Tena hamisa iingie fasta nyingine ulete wa pili mlingane [emoji23][emoji23][emoji23]
duller square jamano hana hamuView attachment 591327
Hivi hizi discussion zipo Dunia gani!?!?
 
Huko Instagram tangu wameingia wazaramo basi balaa tupu.
 
Sijadili maisha ya watu, lakini Hamisa ni MALAYA. Si mwanamke wa kuoa. Na diamond akikosea amwache Zari, eti aoe huyu malaya, hatatulia tena.

Hakuna mwanamke mwenye busara na aliyetulia, atakuwa na matabia kama ya hiki kijukuu changu hamisa. Ninahisi amelelewa bila baba wa maana ndiyo sababu anakishi kichangudoa doa. Anachokifanya ni kumdhalilisha mtoto./QUOTE]
eti hamisa Malaya!! na mond tumuitaje fuska ama
kwanza umeshajadili maisha ya watu. pili MALAYA ni huyo dai....hivi angetuliza kengele zake huyo hamisa angembaka?
huwezi lala na mtu ukamzalisha halafu umkane mtoto na kumtusi juu. mond kakosea sana kamkosea zari na hamisa pia. mmezoea lawama zote kwa wanawake tu bila kuangalia chanzo.
hamisa sio mjinga lazima aliahidiwa makubwa hadi akaamua kuzaa kabisa. asingerudia kosa kijinga jinga wakati alishafanya kosa kwa majizo...... lkn sasa huko kukanwa hadharani ndio kumechefua.
 
Sijadili maisha ya watu, lakini Hamisa ni MALAYA. Si mwanamke wa kuoa. Na diamond akikosea amwache Zari, eti aoe huyu malaya, hatatulia tena.

Hakuna mwanamke mwenye busara na aliyetulia, atakuwa na matabia kama ya hiki kijukuu changu hamisa. Ninahisi amelelewa bila baba wa maana ndiyo sababu anakishi kichangudoa doa. Anachokifanya ni kumdhalilisha mtoto.
Team povi,team roho mbaya,team mnaafiki!!!!!
Nkuulize btn hamisa ba Zari nani MALAYA?alivyokua anapiga nude pics zari hujaziona?mama wa watoto watatu unakata viuno hadharani,unashikwa shikwa bafuni,yaani unachokifanya sirini na mpenzio unaonyesha kwenye social media?haya ndo maadili?
Kingine ushawahi mskia Hamisaa anaongea chochote pamoja na dharau na matusi yote Yale?

Vaa viatu vya Hamisa kwanza mtoto wako anakanwa hadharani halafu anakuita Malaya?

Hamisa kaibiwa mzazi mwenziwe na Lulu,what do u say?

So ulikua unataka aendeelee kukaa kimya huku anamkana mtoto wake?unaujua uchungu wa Mwana were?

Acheni. Hizo don't offend hamisa for ur personal envyyyy!!!
 
Back
Top Bottom