Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unakuja kuta DNA inasema mtoto wa Ommy Dimpozz😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unakuja kuta DNA inasema mtoto wa Ommy Dimpozz😀😀😀
Wa kwako weweeInaonekana kama amekua hacked.....this doesn't make sense.....bwana nasibu si baba wa yule mtoto.....
Hatufulii tunadekia chooni Leo!Dah!ila kama kweli kazaa na daimond hamisa ni wale wanawake nyoka kabisa hafai hata kumsogelea,alichofanya sio kumkomoa bali ni kuumiza nafsi ya daimond,na hakuna mwanaume anayekubali kushindwa yatamtokea pua.
Nampenda sna zari,kama mwanamke nimeumizw sana jamani mwanaume anauma haswa ukimpeda...wenye povu fueni tu hakunaa namna
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa hyo alivyomkataa mlikua mnashangilia?Yaan mi naona hamisa anajidhailisha tu jamani, hapa kweli kuna mwanaume atakuja kutia mguu kutaka kuoa?
Kwnn asingekaa kimya tu, najisikia aibu km ndio mm.
Mtu kama anakukubali wala huwa haitumiki nguvu kubwa hv kujitangaza. Km hali ndio iko hivi ndio mana majizo aliondoka zake.
Gay???!!Unakuja kuta DNA inasema mtoto wa Ommy Dimpozz😀😀😀
Naona kumshusha kimuziki imeshindikana,sasa ni upande wa pili kumshusha kimahusiano.
HAMISA KAMA ALIMEGWA KAMEGWA TU,NA SI ALIKUA AMEJITEGA KWA SABABU YA NIA YAKE ALIYOKUA ANAIJUA????
BASI SAWA KWA MWANA MKE ANAYEJITAMBUA KAMA ZARI ATAKAAA CHINI ATASOMA LENGO LA HUYO HAMISA KIUNDANI
ATAMPOTEZEA NA WATASAMEHEANA YATAISHA.
FUNZO UKICHEPUKA NA WANAWAKE NAMNA HII,KUA MAKINI SANAAAA,MAAANA HUA WANAELEWA WAMEFATWA KWA AJILI YA MAHUSIANO ILA WAO WANAAMUA IBU YA WENGINE
Twendeee mzee mondi,najua TEAM HATER'S LEO WANAJIDAI WANAHURUMA SANA NA ZARI,MAANA DIZAIN FULANI HIVI WAMEONA KAMA WANAANZA KUFANIKIWA KUWATENGANISHA.
Huko WALIPO mange na wema naona kwa wakifanikiwa kwa hili watafanya party kabisa,maana si kwa battle hili la miaka3 mfululizo hawachoki kupambania kuharibu MAHUSIANO haya
Hahahhaa, mshamaliza ishu ya seduce mekwamba imevunja recordkujishusha atajishusha mwenyewe kwa juhudi zake.
Uuuuwiiii,kashuka kutokea ghorofa ya ngapiiiMbona ashashuka tena sana ashuke Mara ya ngapi??
Wewe endelea na mipasho yako lkn anayelala na malaya nayeye ni malaya tu.Hahahhaa, MSHAMALIZA ISHU YA SEDUCE MEKWAMBA IMEVUNJA RECORD
IMEKWISHA NA MNAONA KIPIGO MLICHOKIPATA
SASA WIKI ILOPITA MKAHAMIA NAMIBIA
MMERUD TZ SASA
DAAAAHHH,ROHO ZA CHUKI MBAYA SANAAA
HAYA SASA HAMISA KA KAZWA NA KWA KUA MONDI ALIKUA YUPO HOI,NA KWA KUA NI MALAYA BASI NDO HVYO YANIIIIII
MAISHA YAENDELEENA ALEE MTOTO KAMA WANAWAKE WENGINE TU
Watu wapole wabaya sana asee...yaani mi nakaonaga kapoole!Yaani hamissa ananifurahisha sana, yeye haongei ni vitendo tu...nimeona kaachia na video nyingine wapo na mond
Halafu sielewi mtu unamtukana hamissa eti anaharibu mahusiano ya watu, alijipeleka? Alitongozwa kama ambavyo angetongozwa mwingine. Mwenye kosa ni mond alieshindwa kutulia na Zarina
Uuuuwiiii,kashuka kutokea ghorofa ya ngapiii
Au uchochoroni huko na team zenu ndo mwajipa moyo