Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Ujana ni Nusu ya uwendaazimu"


Karithi tabia ya Mama yake.....we umeona wapi Mama mtu mzima anakwenda kuvuliwa chupi na kijana umri sawa na mwanawe? Ngoja nimuulize Ommy Dimpoz hii issue.
 
Dah ! Hizi ndo akili za wabongo discussing nonsense matters all the time , we have a millénium a head to make Tanzania a prosperous State
 
Karithi tabia ya Mama yake.....we umeona wapi Mama mtu mzima anakwenda kuvuliwa chupi na kijana umri sawa na mwanawe? Ngoja nimuulize Ommy Dimpoz hii issue.
Mdau mambo hayo yanataka uwe na ushahidi usije pelekwa polisi kama huyo Dimpoz.
 
Wabongo ndio tunakuza hii issue kujifanya kila mtu anajua kuwajadili
Sioni jipya sioni kosa la Hamisa maana ni dhahiri hakuna mtoto asiye na baba hata kama baba huyo kamkataa mtoto hadharani,ila ukweli ni kua damu zao zitasadifu kua ni mtoto wa mwanaume fulani
Jf kila wakati hapa tunawasema ma single mama juu ya kuwapa watoto zao ubini wa baba zao,sasa kuna jipya gani hamissa alimpa mwanae ubini wa babake hata kama baba amemkataa mtoto!?
Zari zari zari,who is Zari? Ni mke halali wa Diamond ama? Hivi jamani wana cheat ma sheikh na wachungaji mpaka kuzaa watoto na bado wake zao hawapewi huruma anayopewa Zari sasa hivi hapa bongo!
Tuache upumbavu ni upunguani kuingilia na kujifanya tunayajua sana ya watu, hivi Dk. Remmy Ongala alikua na watoto wangapi wa nje lakini hakushuka kimuziki mpaka Leo hii Diamond ashuke kwa mtoto aliyezaa na Hamisa?
Tatizo ninaloliona
1.Diamond ana uswahili mwingi sana,yaani pamoja na kupaa kwa pipa kwenda mataifa ya waliyostaarabika lakini bado zile tabia za Tandale hazijamtoka! Zile za kutaka kushindana na kila linalosemwa juu yake
2.Hamisa hataki kushindwa kwa kuonekana anamsingizia Diamond,hivyo anafanya kila limjialo moyoni mwake ili tu aithibitishie Dunia anachokificha Diamond
3.Zari yeye anatafuta huruma ya watanzania kwa kuonekana anaonewa ilihali na yeye mwenyewe alimuiba huyo mwanaume wakati akiwa mikononi mwa mwanamke mwingine
Ahsante sana umemaliza kila kitu anatafuta huruma haswaa kwa kua hamisa wengi wasichana wa kibongo hawamkubali
 
kwanza umeshajadili maisha ya watu. pili MALAYA ni huyo dai....hivi angetuliza kengele zake huyo hamisa angembaka?
huwezi lala na mtu ukamzalisha halafu umkane mtoto na kumtusi juu. mond kakosea sana kamkosea zari na hamisa pia. mmezoea lawama zote kwa wanawake tu bila kuangalia chanzo.
hamisa sio mjinga lazima aliahidiwa makubwa hadi akaamua kuzaa kabisa. asingerudia kosa kijinga jinga wakati alishafanya kosa kwa majizo...... lkn sasa huko kukanwa hadharani ndio kumechefua.
Hata mimi ningefanya km hamisa tu
 
Ahsante sana umemaliza kila kitu anatafuta huruma haswaa kwa kua hamisa wengi wasichana wa kibongo hawamkubali
Na hawawezi kumkubali maana visichana vya bongo navyo vyataka nafasi aliyoipata Hamisa kwa Diamond
Sasa mfano tu unategemea Wolper atamkubali Misa wakati njia ya Hamisa nae alipita
 
Team povi,team roho mbaya,team mnaafiki!!!!!
Nkuulize btn hamisa ba Zari nani MALAYA?alivyokua anapiga nude pics zari hujaziona?mama wa watoto watatu unakata viuno hadharani,unashikwa shikwa bafuni,yaani unachokifanya sirini na mpenzio unaonyesha kwenye social media?haya ndo maadili?
Kingine ushawahi mskia Hamisaa anaongea chochote pamoja na dharau na matusi yote Yale?

Vaa viatu vya Hamisa kwanza mtoto wako anakanwa hadharani halafu anakuita Malaya?

Hamisa kaibiwa mzazi mwenziwe na Lulu,what do u say?

So ulikua unataka aendeelee kukaa kimya huku anamkana mtoto wake?unaujua uchungu wa Mwana were?

Acheni. Hizo don't offend hamisa for ur personal envyyyy!!!
Asante mkuu ukivaa viatu vya hamisa utajua kwanini kafanya hayo, haiwezekani unitombe na mimba juu na bado kwenye public unanitusi eti natafuta umaarufu then nikukalie kimya, hamisa katuonyesha kwamba jamani kithibitisho ni hiki,
 
Na hawawezi kumkubali maana visichana vya bongo navyo vyataka nafasi aliyoipata Hamisa kwa Diamond
Sasa mfano tu unategemea Wolper atamkubali Misa wakati njia ya Hamisa nae alipita
Mama umeongea ukweli mtupu Mimi Alichonikera kukataa mtoto acha amlipue wana husuda wabongo
 
Nani alikudanganya kuna wakati tunatia nje kuboresha

Mahusiano ya ndani ...huwezi kila siku unapiga kitu kile

kile tu .....that is abomination put that to your little head
Yaani mume wangu atie nje kwa kigezo cha kuboresha mahusiano ya ndani !! HUO NI UMALAYA TU maana siku nitakapojua hakutakua na maboresho ya ndani kama usemavyo
 
Asante mkuu ukivaa viatu vya hamisa utajua kwanini kafanya hayo, haiwezekani unitombe na mimba juu na bado kwenye public unanitusi eti natafuta umaarufu then nikukalie kimya, hamisa katuonyesha kwamba jamani kithibitisho ni hiki,
Mi namsifu hamisa kwanza amekaa sana kimya ila kukataliwa mtoto hapana kwa kweli
 
Hamisa ni mjinga tu.....hivi hajuwi kama hakuna mwanamme dunia hii anayependa kuzaa na changudoa? Diamond anaona haibu kujulikana kazaa na changu ila Hamisa hii bado hajajuwa.
Diamond angekua wa maana kama angeogopa kufanya ngono na changudoa! Otherwise wote ni machangu tu tofauti zao jinsia maana huwezi kushiriki tendo alafu ukakataa matokeo ya tendo uliloshiriki, Kama Hamisa anakataliwa kwa kua ni Malaya basi hata yeye Mond mamake alikataliwa na mzee Abdul kwa kisa hiko hiko cha umalaya wa Sandra!
 
Back
Top Bottom