Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Na hawawezi kumkubali maana visichana vya bongo navyo vyataka nafasi aliyoipata Hamisa kwa Diamond
Sasa mfano tu unategemea Wolper atamkubali Misa wakati njia ya Hamisa nae alipita
Ulijuaje mamii yaani wanatamani wawe Hamissa hawana lolote kwani missa ndiyo wa kwanza? Mwenye kulaumiwa ni mond kwa kutofunga zipu

Halafu wangejua huyo missa mipango yake ya maisha ni nini wangekaa chini wajicheke[emoji23][emoji23]
 
Diamond angekua wa maana kama angeogopa kufanya ngono na changudoa! Otherwise wote ni machangu tu tofauti zao jinsia maana huwezi kushiriki tendo alafu ukakataa matokeo ya tendo uliloshiriki, Kama Hamisa anakataliwa kwa kua ni Malaya basi hata yeye Mond mamake alikataliwa na mzee Abdul kwa kisa hiko hiko cha umalaya wa Sandra!
Mama unaongea facts tupu tena kama mwanamke unaejua maana ya utu uzima
 
Wabongo ndio tunakuza hii issue kujifanya kila mtu anajua kuwajadili
Sioni jipya sioni kosa la Hamisa maana ni dhahiri hakuna mtoto asiye na baba hata kama baba huyo kamkataa mtoto hadharani,ila ukweli ni kua damu zao zitasadifu kua ni mtoto wa mwanaume fulani
Jf kila wakati hapa tunawasema ma single mama juu ya kuwapa watoto zao ubini wa baba zao,sasa kuna jipya gani hamissa alimpa mwanae ubini wa babake hata kama baba amemkataa mtoto!?
Zari zari zari,who is Zari? Ni mke halali wa Diamond ama? Hivi jamani wana cheat ma sheikh na wachungaji mpaka kuzaa watoto na bado wake zao hawapewi huruma anayopewa Zari sasa hivi hapa bongo!
Tuache upumbavu ni upunguani kuingilia na kujifanya tunayajua sana ya watu, hivi Dk. Remmy Ongala alikua na watoto wangapi wa nje lakini hakushuka kimuziki mpaka Leo hii Diamond ashuke kwa mtoto aliyezaa na Hamisa?
Tatizo ninaloliona
1.Diamond ana uswahili mwingi sana,yaani pamoja na kupaa kwa pipa kwenda mataifa ya waliyostaarabika lakini bado zile tabia za Tandale hazijamtoka! Zile za kutaka kushindana na kila linalosemwa juu yake
2.Hamisa hataki kushindwa kwa kuonekana anamsingizia Diamond,hivyo anafanya kila limjialo moyoni mwake ili tu aithibitishie Dunia anachokificha Diamond
3.Zari yeye anatafuta huruma ya watanzania kwa kuonekana anaonewa ilihali na yeye mwenyewe alimuiba huyo mwanaume wakati akiwa mikononi mwa mwanamke mwingine
Sister agiza upendacho asante saaaaana
 
Mi namsifu hamisa kwanza amekaa sana kimya ila kukataliwa mtoto hapana kwa kweli
Hamisa ni mvumilivu sana muda wote huo alivyotukanwa na watu mitandaoni, bora alivyovujisha tu walau apumue huko aliko maana inaonyesha alikuwa anadonge kubwa sana moyoni mwake
 
Ulijuaje mamii yaani wanatamani wawe Hamissa hawana lolote kwani missa ndiyo wa kwanza? Mwenye kulaumiwa ni mond kwa kutofunga zipu

Halafu wangejua huyo missa mipango yake ya maisha ni nini wangekaa chini wajicheke[emoji23][emoji23]
Wapumbavu hao wanafiki kumuita hamisa Malaya kisa kazaa na daimond?who is zari mpk asiibiwe wapambane na hali Zhao

Hamisa aliibiwa mwanaume na lulu tena mzazi mwenzie lakini badala ya kumtetea walimtukana binti wa watu Leo kawa Malaya hamissa kwenye kutetea legacy ya mwanawe!!hapana hamisaa yuko sahihi mtoto anauma haswaq
 
Ulijuaje mamii yaani wanatamani wawe Hamissa hawana lolote kwani missa ndiyo wa kwanza? Mwenye kulaumiwa ni mond kwa kutofunga zipu

Halafu wangejua huyo missa mipango yake ya maisha ni nini wangekaa chini wajicheke[emoji23][emoji23]
Na IPO siku huyo wanaemwita Malaya ndo atakaa pembeni km mkewe, ninaota tu
 
Hamisa ni mvumilivu sana muda wote huo alivyotukanwa na watu mitandaoni, bora alivyovujisha tu walau apumue huko aliko maana inaonyesha alikuwa anadonge kubwa sana moyoni mwake
Mbaya zaidi anatukanwa na kila mtu mpk wasiojielewa yaani hakuna bint katukanwa km hamisa mimi namsifu mnooo ila HAPA nimemkubali huyo ndo mzazi mguse mwanawe umjue yy nani!Mtoto anauma saaanaa
 
Mbaya zaidi anatukanwa na kila mtu mpk wasiojielewa yaani hakuna bint katukanwa km hamisa mimi namsifu mnooo ila HAPA nimemkubali huyo ndo mzazi mguse mwanawe umjue yy nani!Mtoto anauma saaanaa
Ni binti hodari kina wema walimgwaya zari, nae akajipa ununda kwamba diamond kwake hachomoi, yako wapi sasa,
 
Am a woman nna watoto mama hebu imagine baba yao angewakataa kama alivyokataliwa Dully kwenye media na zaidi ya yote mama mzaa Dully akatukanwa na matusi
Inauma navaa viatu vya hamisa havintoshi kabisaa tena Mimi ningefanya worst Mimi Dada kuna risk nimetake kwa my ex husband mpk anajutaaa
Alichofanya sahihi kabisa unakataa mtoto wako?
 
Inauma navaa viatu vya hamisa havintoshi kabisaa tena Mimi ningefanya worst Mimi Dada kuna risk nimetake kwa my ex husband mpk anajutaaa
Alichofanya sahihi kabisa unakataa mtoto wako?
Wanaume wanatuona sisi wanawake kama viumbe Dhaifu sana! walimwengu walitegemea wamuone Misa ana lia lia kama yule mwanamke wa Ney wa Mitego (sijui wanamuita Fay) ambae alijirekodi analia michozi na kamasi juu, ila Mobeto kweli mtoto wa tandika kaonyesha ujasiri wa hali ya juu hata kama analia basi shida zake analilia ndani akitoka nje mkavuuu hahaha
 
Unapaswa kukakamaa safi sana hamisa
 
Tabia za kiswahili ni kama watu hawaja enda shule

Hamisa ameenda shule gani kwa mfano? Ni typical rangi ya ukahaba kabisa. Mtu mwenye maarifa hawezi kulazimisha mapenzi kwa kumtegea mimba mwanaume na kisha kuanzisha matangazo mitandaoni kwa lengo lolote.

Afahamu hata kama ni mtobo wa Nasibu, mzazi wa mtoto wako anastahili staha. Iko namna ya kuzungumza na mzazi mwenzako hata kama mmepata mtoto bila kupanga, au kama hampendani au kama mlikwenda kama makahaba tu walivyo.

Kudhalilishana mitandaoni hakuleti mapenzi kati yenu na wala hakumaanishi malezi bora ya mtoto.

Umaarufu unaotafutwa kwa lazima huwa haupo. Hamisa anajidhalilisha kwamba kichwani hazimo no wonder anataka ama:-

"Mitandao umlazimishe Nasibu amuoe"(Sijui ni kwa ajili ya nini".

"Nasibu na Zari waachane ili wakose wote, wawe masela mitaani",

"Apate jina", sijui jina la namna gani ikiwa Nasibu katembea na watu wengi na hakuna hata mmoja anayetembelea jina la Nasibu>

"Analazimisha uhusiano ili atunzwe kwa kuwa maisha yake ni magumu",

"Ujinga wa kikahaba".

Watu wa karibu na hiki kijukuu changu Hamisha kishaurini, kwa ajili ya maisha ya huyo mtoto, na kwa ajili ya kujenga jina lake, aache tabia za umalaya. Aende kupima DNA ili kujiridhisha mtmto ni wa Nasibu, atume watu wenye akili kwa mtu anayeheshimiwa na Nasibu, wazungumzie suala la malezi ya mtoto kwa kuwa nina mashaka baada ay hii tabia ya kipumbavu, Nasibu atakuwa anaweza kukaa na kusema nako kwa amani.

Nasibu naye kama mtoto ni wake, aache utoto. Achukue jukumu la uzazei na akubali gharama za umalaya!. Anapokwenda na kila mtu apakaye wanja, tena peku peku ategemee makubwa kuliko kuliko mtoto!

Hakuna mjadala.
 
Ni binti hodari kina wema walimgwaya zari, nae akajipa ununda kwamba diamond kwake hachomoi, yako wapi sasa,
Mnanishangazaga kumsema zari kama vile ndiye alimtoa wema kwa mond wakati wema alijitoaga mwenyewe kwa kelele za wapambe ambao baada ya kuskia mond kapata mwingine wakageuka na kuanza kumshambulia mond na zari
 
Back
Top Bottom