Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Nae diamond kwa kuvamia wanawake waliozalishwa na wenzie yupo safi anawaonea sana single mother's hawez kuzindua wakwake sasa hamisa nae anataka kufa nae mana hela hana zali mkwanja upo.

Hapo ma jay akiomba mzigo anakula kule uganda ashukur jamaa katangulia mbele za haki.
 
Sasa misa naye alisubiri nn mpaka kiti kishakaliwa na dillish ndo analeta picha, kanikera ila simpatii picha Bi tukinao maana Mwanaume kamsaliti na mwingine tena
 
mond unamsumbua mama bhana akisema amuweke zari karibu mara unamletea hamisa, akijisogeza kwa hamisa mara unamrudisha zari.
anabaki anatanga tanga tu, usiku anaenda kumcheck dully mchana anawapost nilan na Tifa.
 
23f180156ce41c3b21c0211d272037ec.jpg
 
Nae diamond kwa kuvamia wanawake waliozalishwa na wenzie yupo safi anawaonea sana single mother's hawez kuzindua wakwake sasa hamisa nae anataka kufa nae mana hela hana zali mkwanja upo.

Hapo ma jay akiomba mzigo anakula kule uganda ashukur jamaa katangulia mbele za haki.
kule Ug zari ana ma ex kibao wala hakua ivan pekee...alipoachana na ivan alizurura vya kutosha....mmoja wapo ni yule farook aliyevujisha video ya zari akijisaga
 
Ila diamond asipokufa kwa ukimwi sijui, hajui condom huyu kaka.
Hamisa nae kama wema, jokate, penny walishindwa hapo wewe utapaweza? Worse enough umemzalia kabisa daah njaa mbaya sana.
Pole bibi tukinao na wewe si boss lady mbona unamng'ang'ania hivyo huyo mtoto utakufa na presha, find a private dic* and move on lea wanao
 
Mmh hebu tupite sie mwanamme akifikia kuwadhalilisha hivi hapana jaman where is Dr phill awape ushauri hawa viumbe
 
Kumekuwa na mambo ya kijinga sana kwa wasanii wetu yanayoendelea. Hivi siri za ndani zinaulazima gani kuzianika nje ??
 
Ukisikia red handed ndio hii, ila michepuko nayo sijui huwa inakula maharage ya wapi, unamleta home na anajua unamke anaanza kupiga selfie hadi maeneo nyeti.
 
Back
Top Bottom