shayrose
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 369
- 411
Zamani walikua wanamwita domo siku hizi lps dendaPesa ndo inawachanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani walikua wanamwita domo siku hizi lps dendaPesa ndo inawachanganya
Kesho mond anaongea yatakayporomoshwa hapoo si mchezo utanitag mamaYaani ht hao wazungu hawafanyi vile!daah to b honest zari ajifunze atafuta wazee wenzie hv viserengeti ni pasua kichwaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamani walikua wanamwita domo siku hizi lps denda
Hajaona majukw ya kilimo naumwagiliajiWewe hapa Ndio unafanya Maisha??
hahaha mbona kama umefurahi sana...Zari alifikiri ana maku yenye sugar
Nduguuuu hamisa ajiandae maana mwanaume alivyo na shombo halafu nimegundua hawezi kukaa na kitu rohoniKesho mond anaongea yatakayporomoshwa hapoo si mchezo utanitag mama
ila wasitingishe za wengineWapambane na hali zao tuu
ndo hivyo manTusubiri...sitakatai wengine mtaani tunawo wazuri kama hao, swala hawa majina tu...ila raha kwa mwanaume kugombaniwa kama hivi..
Utoto mtupuModel hamissa Mobetto avujisha picha zake alizopiga na diamond platinumz enzi za mahusiano yao.
Katika picha hizo zipo ambazo amepiga madale, kwenye kitanda kile kile ambacho Zarina anakitumia akija.
View attachment 590655View attachment 590656View attachment 590657View attachment 590660View attachment 590661View attachment 590663