Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Amshtaki kwani kuna sura yake imeonekana mahali au kujihisi.Ovyoo
 
wapumbavu wote, hebu basata iingilie kati kwenye hili imfungie diamond hata miaka miwili kujihusisha na mambo ya kimuziki maana na yeye anaongoza kwa kutupia picha na video za nusu porn mitandaoni. na huyo hamisa naye wamtafutie adhabu yake kali inayomfaa, yani dunia nzima utafikiri wao tu ndo wanatombanaga. MMMFYUUUU ZAO
 
2ab6716e811e12243a583b84f5033895.jpg
 
Tamshiataki je wakati yeye ndo kamtuma kuzivujisha. Huenda yeye ndo amezivujisha. Hamisa hawezi kuwa na guts kufanya hivyo
 
  • Thanks
Reactions: naa
Mbona hii ni kama PHOTOSHOP???? Mbona hapo ni kama Diamond alikuwa amelala na Tuzo? Mwenye picha zile za Diamond akiwa amelala na Tuzo aweke hapa! kama sikosei hii siku alikuwa na Zari na Hii ni Editing mbona au macho yangu??????

All in All diamond anakipindi kesho na Leo tena CLOUDS tutamsikia
 
Ukiona mchepuko unavujisha picha ujue kimenuka na baba mwenye nyumba.kuvujisha ni kumkomoa bwana pamoja na partner wake.jiulize picha anazo muda wote kwa nini hakuzitoa. Kaona liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom