Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Awaeleze pia polisi jinsi alivyopanda naye kitandani bila kuwaza atajidhalilisha.
 
naona diamond kaomba interview clouds kesho hahahahahaha...!!
 
Sasa huyu hajui mwanaume hata apige picha uchi anauwezo wa kuoa kigori Ila mwanamke sifa chafu haifutiki wanaume wanakuogopa utapata usiku mmoja kwaheri anajiharibia angetumia hekima au hata DNA angeenda nayo ustawi kuliko huo utoto anajikosesha soko sponsor wataogopa kuanikwa hadharan
Sababu tunawashauri watu maarufu rudini shule hata kama kilaza utapata hata Kastaarabu Fulani kakisomi unakuwa smart
 
Na mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
😎
 
Huyu zipu mbovu hajui nguvu ya wanawake hii ishu imemharibia na itamharibia sana
 
Hivi huko ma instagram Zari ana hali gani!?
 
Mama diamond mkanye mwanao halafu siwanakaa nyumba moja na maza huenda maza anajua pia
 


Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.

WAUZA PAPUCHI MTANDAONI SHIDA KWELI KUFANYA NAO KAZI
ALIPEWA KAZI YA KUSHIRIKI KWENYE NYIMBO YA SALOME BASI NI SHIDA ANA NGANGANIA PENZI LISILO KUWEPO YAANI WANA WAKE WENGINE NI SHIDA .
KAMA MTOTO WA DAI NI AJALI YA KIKAZI NA INAWEZEKANA HUYU MUUZA PAPUCHI ALIMHADAA DAI MPAKA AKAMLA LAKINI SIO KWA MAPENZI NI KA AMEKUA RAPPED NA MABOTO

NA HIZI PICHA YEYE ANAONESHA KAMA NDIO SIKU AMBAYO YEYEALIJAZWA HIO MIMBA
LAKINI HIZI PICHA NI USANII , UKIANGALIA STYLE YA NYWELE YA DAI NI YA MIAEZI KAMA 5 ILOPITA HII HAKUWA NAYO WAKATI HUO
NI USANII WA MKUCHAFUA DAI KUMHARIBIA KAZI ZAKE NA MAPENZI YAKE NA ZARI
UKIANGALIA HUYU MUUZA PAPUCHI INSTA ANAPATA FAIDA GANI KUPOSTI UJINGA ? HIVI NDIO ANAONA HAYA NDO DAI ATAMPENDA ..AKILI KAMA PAUPUCHI YAKE
 


Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.

Watombane wao mje mtusumbue huku
 
Back
Top Bottom