Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Nlitamani jana ningeona mapema ile komenti ya ushuzi wake dai ningeenda kumwandikia mitusi ya ajabu mende yule ....simpendi nyauba yule

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yule hajali kitu ujue!!daimond ni kama mama ake(sorry to say this)ila ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mauno gani bibi mtu hata kuolewa hujaolewaa shunie huo uchizi tuu!![emoji23] [emoji23] wanawake wote wa daimond mahawara tu halafu hakuna hata aliyetolewa barua hata kwa bahati mbaya na bado unakaa unakubali kudhalilishwa kisa dudu aaah!wapi!

Mi bwana jeuri nakuacha na pesa zakooo!!!hapoo na dudu yako kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww huna tofauti na mm nilimuacha mwanaume na pesa zake haamini mpaka kesho kutwa mambo ya kudhalilishana siyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom