cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Aache utoto diamond ndo anamzalilisha hatariHis ex wanna fight me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aache utoto diamond ndo anamzalilisha hatariHis ex wanna fight me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
Kukaa kule ni malipo ya kumzalia watoto wawili hata Mimi ningeji nafasiHihihihihihihih nacheka kifilipino hapa nasoma comments naishia kusema hiiiii hivi ile range ya zari ni sh ngapi jamani ....maana kukaa kwenye ile nyumba isiwe sababu ya kusema zari hana pa kukimbilia .......ile nyumba anakaa sababu ya mitoto ile ya dai ...unadhani zari isingekua vile vifaranga vya chibu angekaa pale!!! Si angejiendea zake kukaa kwenye nyumba walizonunua na marehemu mumewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Mond uswahili umemzidi na hivi ana hela sa hivi hao wanawake zake wasiojitambua watakoma.Kabisa maumivu aliyojitaftia yatamtesa had uzeeni, hata Zari pia wema has nothing to lose hajazaa naye.
Hafu mond anawazalilisha baby mama zake kuupa wimbo wake kiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh ila isfikie hatua ya kusema hana pa kukimbilia mweeeeeh zari sio kama chuchungeKukaa kule ni malipo ya kumzalia watoto wawili hata Mimi ningeji nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hihihihihihihih nacheka kifilipino hapa nasoma comments naishia kusema hiiiii hivi ile range ya zari ni sh ngapi jamani ....maana kukaa kwenye ile nyumba isiwe sababu ya kusema zari hana pa kukimbilia .......ile nyumba anakaa sababu ya mitoto ile ya dai ...unadhani zari isingekua vile vifaranga vya chibu angekaa pale!!! Si angejiendea zake kukaa kwenye nyumba walizonunua na marehemu mumewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaarufu unawaponza aisee sasa hamisa badala atafte future anashindana na mwanaume asiye kuwa na akili acha wazalilishwe maana wanapendaTatizo Mond uswahili umemzidi na hivi ana hela sa hivi hao wanawake zake wasiojitambua watakoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlitamani jana ningeona mapema ile komenti ya ushuzi wake dai ningeenda kumwandikia mitusi ya ajabu mende yule ....simpendi nyauba yuleTatizo Mond uswahili umemzidi na hivi ana hela sa hivi hao wanawake zake wasiojitambua watakoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasahau kama zari ana nyumba ambazo kaachiwa na mume wake .....zipo na zimepangishwa ...akitaka kukaa atakaaHiiiiiiii nacheka ki chatlle mie,nyumba imezua mambo,watu wanaumia na vile insta daddy anataka ongeza ya pili akinunua kweli itakua ya nillan maana ndo mwenye uraia south. Wangejua nyumba za ivan kodi ndefu zinazompa jeuri zari ya kusomesha wanae na kufanya mambo mengi atakavyo wala wasingelalama kuhusu ile nyumba
Zari next level sasa akiondoka kina tiffah wanaweza wasije pata ile nyumba ni haki yake kukaa kuleUmeona eeeh ila isfikie hatua ya kusema hana pa kukimbilia mweeeeeh zari sio kama chuchunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kuwadhalilisha watamuongelea saa ngapiZari hapo kumfungia vioo kanifuraisha sana huyu hafai anazalilisha mno wanawake, ingawa dai anajifanya strong ila michaganyo ya mahusiano inamuumiza kakonda hata ukimuona usoni una notice something wrong. Kina Hamisa wanamchekea sana kiki alobaki nayo ni kuzalilisha baby mama, Zari amkomeshe mpaka anyooke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa .....Zari next level sasa akiondoka kina tiffah wanaweza wasije pata ile nyumba ni haki yake kukaa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] coco ana mapenzi ya kipofuu huyuu!ndoa my footMh coco babe nakupenda sana hapa nipo tofauti na ww wa kufunga ndoa na kuwa kimya naniiiiiiiiiiii ile nyimbo bana
Na sasa hivi watu wamemchoka dai ndo mana bila kuwachokoza baby mamaz watu wana msahau
Kima ni Zari hilo lajulikana kabisaa!!utimu mbaya sanaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!yaani chongo unaona kengezaa!!!Dooh ila kushabikia team inataka moyo coco babe jamani Mungu anakuona kima ni zari
Atulie ajipange sasa kushindana na aliyemzidi ni kujichosha tu bure.Pesa pesa maana ana hamu na kiu ya kuitwa bosslady na yeye ndo maana kazaa na matajiri tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] coco ana mapenzi ya kipofuu huyuu!ndoa my foot
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coco babe mm nampendaga tu lakini hapo sipo upande wake ukweli unajulikanaKima ni Zari hilo lajulikana kabisaa!!utimu mbaya sanaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!yaani chongo unaona kengezaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanaishi wapi sasa wote wanataka tittle ya kukaa ghorofani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!unafikiri kazi rahisiWao pia si ni watafutaji jamani wamgomee tu
Wanaona rangi zote huo ndo ukweli na wanajuta haswaa!!!Tatizo Mond uswahili umemzidi na hivi ana hela sa hivi hao wanawake zake wasiojitambua watakoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!Umeona eeeh ila isfikie hatua ya kusema hana pa kukimbilia mweeeeeh zari sio kama chuchunge
Sent using Jamii Forums mobile app