Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hihihihihihihih nacheka kifilipino hapa nasoma comments naishia kusema hiiiii hivi ile range ya zari ni sh ngapi jamani ....maana kukaa kwenye ile nyumba isiwe sababu ya kusema zari hana pa kukimbilia .......ile nyumba anakaa sababu ya mitoto ile ya dai ...unadhani zari isingekua vile vifaranga vya chibu angekaa pale!!! Si angejiendea zake kukaa kwenye nyumba walizonunua na marehemu mumewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaa kule ni malipo ya kumzalia watoto wawili hata Mimi ningeji nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiiiiiiii nacheka ki chatlle mie,nyumba imezua mambo,watu wanaumia na vile insta daddy anataka ongeza ya pili akinunua kweli itakua ya nillan maana ndo mwenye uraia south. Wangejua nyumba za ivan kodi ndefu zinazompa jeuri zari ya kusomesha wanae na kufanya mambo mengi atakavyo wala wasingelalama kuhusu ile nyumba

Wanasahau kama zari ana nyumba ambazo kaachiwa na mume wake .....zipo na zimepangishwa ...akitaka kukaa atakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari hapo kumfungia vioo kanifuraisha sana huyu hafai anazalilisha mno wanawake, ingawa dai anajifanya strong ila michaganyo ya mahusiano inamuumiza kakonda hata ukimuona usoni una notice something wrong. Kina Hamisa wanamchekea sana kiki alobaki nayo ni kuzalilisha baby mama, Zari amkomeshe mpaka anyooke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kuwadhalilisha watamuongelea saa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] coco ana mapenzi ya kipofuu huyuu!ndoa my foot

Sent using Jamii Forums mobile app
Kima ni Zari hilo lajulikana kabisaa!!utimu mbaya sanaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!yaani chongo unaona kengezaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coco babe mm nampendaga tu lakini hapo sipo upande wake ukweli unajulikana
 
Umeona eeeh ila isfikie hatua ya kusema hana pa kukimbilia mweeeeeh zari sio kama chuchunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom