Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa ni mjinga, Diamond ni mjinga hata Zari pia ni mjinga. Asitokee yeyote kati ya hawa wajinga watatu akaifanya nafsi yako ipate sononeko.
 
mkuu umenena point tupu halafu umekuja kuandika upupu hapo mwishoni kuhusu Zari. Zari ni mjinga tu kama wajinga wengine.... kuwa na hela hakuondoi ujinga kichwani
 
Naona hamisa ana apply ile mapenzi uvumilivu atabadilika maisha kupanda na kushuka misukosuko ya mahusiano kubali yote kama wanawake wa zamani ila jamani hadi kutukaniwa mtoto hapana hiyo ni nehiiiiiii uzuzu wa kiwango cha mwendokasi
 
Dai nakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeee jamani,chukua ua lako
mkuu umenena point tupu halafu umekuja kuandika upupu hapo mwishoni kuhusu Zari. Zari ni mjinga tu kama wajinga wengine.... kuwa na hela hakuondoi ujinga kichwani
 
Nakwambia anawapata wa kuwaburuza hivo!!
Mi niache ila USITHUBUTU KUNIONGELEA SHOMBO,PRIVATE OR PUBLIC!!
since I won't do the same!!
ELSE!
enenehehhehehhehehehe
much worse unaingiza na mtoto
 
Wanawake wa JF bana kila mtu anajiona perfect ana akili kuliko Hamisa,wengine tunawajua majina yenu halisi,hadi nyumbani kwenu,kuna mmoja hapa na
ona yuko mstari wa mbele kuponda but nikisema lile tukio la aibu lililokukuta juzi unaweza kuihama JF,msiwe wepesi wa kuhukumu ilihali wewe ndo umeoza kweli kweli.
 
Dai nakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeee jamani,chukua ua lakoView attachment 845892
Hao wote Hamisa, Wema, Zari, Diamond ni wajinga tu, Sipendi vile Dai anatumia udhaifu wa hawa wanawake kuwafanya chochote anachojisikia.... Ila kwa upande wa pili nastaajabu sana viwango vya kutojielewa vya hawa wanawake.... Ni viwango vikubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohooo
Kama nami namemwona huyo mtu
Anamtukana sana misa na mwanae
Hahahah ana uchungu kuliko hata zari
Wanawake tupendane
Dimondo anatumia kitopendana wanawake kuwatumia na kuwadhalilisha period

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tabia yake kila Dee akitoka SA alikuwa anapenda kurusha ka vile kawa nae

Trip hii jibebe imemuumbua na wao kuwa ma side tu.. ila dee kachoka kuchafuliwa jina nae ka vile wako wote moto moto.. jana hiyo ya kukuuma duh lazima ilimchoma.

Pia washauri wake wao pesa tu wanazogawana kwa kumsaidia ndio wanampelekesha. Ametemwa live hasikii labda sasa atasikia

Pugi maana yake nini?
 
Majizzo hawezi ujinga wa Misa. Sheria za Majizzo ndo zilizomtoa kwa Majizzo maana bi dada anapenda attention na Majizzo hataki hayo maujinga ya media sijui mashoga mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app

Majizzo alimuacha alipogundua tabia yake ya ku... ndio maana kule hawezi jaribu. Inashangaza dee hakumjua kwasababu bado hajaacha.. ni mileleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…