dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,675
Hamisa ni mjinga, Diamond ni mjinga hata Zari pia ni mjinga. Asitokee yeyote kati ya hawa wajinga watatu akaifanya nafsi yako ipate sononeko.Hamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!
Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app