Hao wote Hamisa, Wema, Zari, Diamond ni wajinga tu, Sipendi vile Dai anatumia udhaifu wa hawa wanawake kuwafanya chochote anachojisikia.... Ila kwa upande wa pili nastaajabu sana viwango vya kutojielewa vya hawa wanawake.... Ni viwango vikubwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani numbisa nakupendaga hapa tu .....upo vizuri mamamtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dai nakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeee jamani,chukua ua lakoView attachment 845892
Angempenda angemuoa sio kumzini kwa kipindi chote hichoo na kumuacha vile!Anampenda Zari interview ya USA iliyozunguka tangu jana imeonyesha. Majutooooooooo
Si uliona firaha akiwa SA?
Teh teh nawaona team zari
Team mabosslady wakimchamba maskini hamisa na mwanae
Maisha haya
But inakuwaje bosslady anazalishwa na tandale boy?is it possible?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣
Bado anaugua kwa ua hili.. anatakiwa kuchekiwa tena na tena.. bipolar
HahahahPugi nakuonaaa
Huyu kaka ndo maana nkasema ni tapeli hana mapenzi hata na mtu mmoja zaidi ya kwake !!
Embu jicheke kwa swali lako.. unatia aibu.. Acha wivu
Wanawake wa JF bana kila mtu anajiona perfect ana akili kuliko Hamisa,wengine tunawajua majina yenu halisi,hadi nyumbani kwenu,kuna mmoja hapa na
ona yuko mstari wa mbele kuponda but nikisema lile tukio la aibu lililokukuta juzi unaweza kuihama JF,msiwe wepesi wa kuhukumu ilihali wewe ndo umeoza kweli kweli.
Kwi kwi kwiTafadhali hebu tupa na jina lake kabisaa maana humu sisi ni maperfect watupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah
How low can you go?
I won't play your game Madame
Good evening
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutishia watu huna lolote zaidi ya wivu. Kama wewe wa uliposema tuli lia ujiongeze
HahahahahahahEmbu jicheke kwa swali lako.. unatia aibu.. Acha wivu
Nimekaa hapa nasubiri kujua ni nani huyooTafadhali hebu tupa na jina lake kabisaa maana humu sisi ni maperfect watupu
Sent using Jamii Forums mobile app
No anampenda sana bossladyHuyu kaka ndo maana nkasema ni tapeli hana mapenzi hata na mtu mmoja zaidi ya kwake !!
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi😂😂😂😂
Hamisa alinichekesha na so pussy sweet, team yangu inamdaganya ka ilivokuwa kwa wema SepetuNa hana heshima kabisaaa
Eti pussy so hot,his ex wanna fight with me
Kwa hio wanataka niwavulie chup na wao daah binti alijiweka kileleni