Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Zari keshabandika ua lake na kajiondokea kwenye mahusiano tata so ujinga wake uko wapi?
Hao wote Hamisa, Wema, Zari, Diamond ni wajinga tu, Sipendi vile Dai anatumia udhaifu wa hawa wanawake kuwafanya chochote anachojisikia.... Ila kwa upande wa pili nastaajabu sana viwango vya kutojielewa vya hawa wanawake.... Ni viwango vikubwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app